Wanaume wa humu mna dharau sana

Wanaume wa humu mna dharau sana

Habari za muda huu

Yaani wanaume wa humu sijajua ni dharau,ni Malaya,au wapoje kwasababu,kila mtu anakuona kama Malaya tu,mara oooh unatangaza biashara.

Mara sijui nini,kutongoza kwenyewe hawajui,mtu badala akubembeleze analazimisha kama vile anakujua,
Wengine ni kutamka pesa zao wakidhani kila mtu anavutika na pesa.

Jifunzeni kutongoza na kujieleza vizuri siyo kila mtu anapenda pesa.

Pesa tunapenda ndiyo lakini siyo za kuhongwa ndiyo maana tunafanya kazi.badilik

Habari za muda huu

Yaani wanaume wa humu sijajua ni dharau,ni Malaya,au wapoje kwasababu,kila mtu anakuona kama Malaya tu,mara oooh unatangaza biashara.

Mara sijui nini,kutongoza kwenyewe hawajui,mtu badala akubembeleze analazimisha kama vile anakujua,
Wengine ni kutamka pesa zao wakidhani kila mtu anavutika na pesa.

Jifunzeni kutongoza na kujieleza vizuri siyo kila mtu anapenda pesa.

Pesa tunapenda ndiyo lakini siyo za kuhongwa ndiyo maana tunafanya kazi.badilikeni
Tunajieleza sana kwenye interview na kwenye kazi huko na huku tuanze tena? Kama unatoa we toa tu, hutaki basi kitunze
 
Habari za muda huu

Yaani wanaume wa humu sijajua ni dharau,ni Malaya,au wapoje kwasababu,kila mtu anakuona kama Malaya tu,mara oooh unatangaza biashara.

Mara sijui nini,kutongoza kwenyewe hawajui,mtu badala akubembeleze analazimisha kama vile anakujua,
Wengine ni kutamka pesa zao wakidhani kila mtu anavutika na pesa.

Jifunzeni kutongoza na kujieleza vizuri siyo kila mtu anapenda pesa.

Pesa tunapenda ndiyo lakini siyo za kuhongwa ndiyo maana tunafanya kazi.badilikeni
Sasa Marry, puguza wahka kidogo, usikwazike na mapito ya humu Jf. zingatia kuwa humu Jf ni kama sokoni.. kuna kila aina ya watu na tabia zao... puuzia yote na uzingatie haya nitakayokueleza... au tufanye hii, nipm namba yako kwanza nikucheck privately
 
Ahsante
 
[emoji23] nikisikiaga tu "mimi sio malaya" , "nakupa ila mimi sio malaya" hapo tayari.

Inasikitisha sana!
Anaanza kujitetea ili ukikutana na bwawa asingizie alikuwa anaendesha Sana baiskeli akiwa mdogo 🔥
 
Back
Top Bottom