MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 6,656
- 22,443
Juzi kati hapa nilisema hii nini account ya kidume. Simps mtapigwa
Sizitaki mbichi hizi ni baada ya kukataliwa muoneeeIli ni dume linachoresha watu
🚮Ahsante,
Mimi na wewe tupo kwenye Gari moja halafu unajifanya haupo safarini 😀
😅Sizitaki mbichi hizi ni baada ya kukataliwa muoneee
Sawa,sijafunzwa dharau
haya kawasalimieSawa,sijafunzwa dharau
Mbona era za kutongoza zilishaisha mammy!,kutongoza kwenyewe hawajui
Maisha ni maelewano siyo utajiriMimi sina kitu mrembo, hata uwezo wa kukununulia kufuli sina. Nawaachia matajiri
Kina nanhaya kawasalimie
Mambo mpendwa, naomba nije pm tuzungumze jamboMume Bora
Umezoea dada poaMbona era za kutongoza zilishaisha mammy!
Vipi Marry!Weee naye
Nifundishe wwInamaana mpk leo hujajifunza watu wa humu wakoje?
Akuu wala usijisumbueMambo mpendwa, naomba nije pm tuzungumze jambo
PoaVipi Marry!