uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 11,617
- 27,582
Kumbuka amekuwa na nyadhifa za juu sana ndani ya chadema kabla hajahamaHuyu huyu aliepigwa VAR na Odemba akataka kusepa!Hamna kitu humu
Kumbuka amekuwa na nyadhifa za juu sana ndani ya chadema kabla hajahamaHuyu huyu aliepigwa VAR na Odemba akataka kusepa!Hamna kitu humu
Wahuni tukamkamie tukamsakanyue aliskika Mwanya😂😂😂😂
Teh teh teh teh teh 😄Kutongoza kumbe bado kupo 😆😆😆
Inasikitisha sana mkuuTeh teh teh teh teh 😄
SawaUtampata Cha msingi kuwa mvumilivu
Mjinga weweUpowapi Nina 100k hapa, ndio tongoza yangu hio, Yani unataka Kula hela yangu bado nikutembeleze?
Wewe mbona hujatuliaHuwezi kutulia we dada 😂😂😂 🙌
Mwamba anasubiri kutongozwa kumbe watu tuko na 7G . Yeye ataje Dau Tu watu tumpandie chapu.Inasikitisha sana mkuu
Nina 100k hapa, upo wapi?Mjinga wewe
Kazi ninayo jumatatu to ijumaaTafuta kazi ya kufanya acha majungu.
Habari za muda huu
Yaani wanaume wa humu sijajua ni dharau,ni Malaya,au wapoje kwasababu,kila mtu anakuona kama Malaya tu,mara oooh unatangaza biashara.
Mara sijui nini,kutongoza kwenyewe hawajui,mtu badala akubembeleze analazimisha kama vile anakujua,
Wengine ni kutamka pesa zao wakidhani kila mtu anavutika na pesa.
Jifunzeni kutongoza na kujieleza vizuri siyo kila mtu anapenda pesa.
Pesa tunapenda ndiyo lakini siyo za kuhongwa ndiyo maana tunafanya kazi.badilikeni
YakoHuo muda wakukutongoza binti usiyekuwa na bikra c Bora nikaingia mtandaoni niposti hv mara miaa 👇👇View attachment 3359790