Wanaume wa humu mna dharau sana

Wanaume wa humu mna dharau sana

Habari za muda huu

Yaani wanaume wa humu sijajua ni dharau,ni Malaya,au wapoje kwasababu,kila mtu anakuona kama Malaya tu,mara oooh unatangaza biashara.

Mara sijui nini,kutongoza kwenyewe hawajui,mtu badala akubembeleze analazimisha kama vile anakujua,
Wengine ni kutamka pesa zao wakidhani kila mtu anavutika na pesa.

Jifunzeni kutongoza na kujieleza vizuri siyo kila mtu anapenda pesa.

Pesa tunapenda ndiyo lakini siyo za kuhongwa ndiyo maana tunafanya kazi.badilikeni
Mlipe VAT
 
Wengine hatutongozi, tunaongoza.

Usituchukulie poa wote kutuweka kundi moja.
 
Kumbe ni kula kulala bado unaishi bure nyumbani, ondoka ujajitegemee ndo akili zitakuja, hapo ndo utaweza kupost mada za maana.
Dah nataman iwe hivoo ,sema wazazi wamesafiri na Mimi ni kama mlinz Leo nataman ningeenda kanisani,mniombee
 
Asa tufanye kitu kimoja,. em hiyo 50k niwekee kwanza kwenye namba yangu wakati nambembeleza bibie aikubali hela kabla hujabadili mawazo😛😛😛
Hahahahaha. Hii kali we sema ,mwambie asione soo ,sijabadili mawazo yeye tu
 
Screenshot_20250608-191114.jpg
 
Habari za muda huu

Yaani wanaume wa humu sijajua ni dharau,ni Malaya,au wapoje kwasababu,kila mtu anakuona kama Malaya tu,mara oooh unatangaza biashara.

Mara sijui nini,kutongoza kwenyewe hawajui,mtu badala akubembeleze analazimisha kama vile anakujua,
Wengine ni kutamka pesa zao wakidhani kila mtu anavutika na pesa.

Jifunzeni kutongoza na kujieleza vizuri siyo kila mtu anapenda pesa.

Pesa tunapenda ndiyo lakini siyo za kuhongwa ndiyo maana tunafanya kazi.badilikeni
Hiyo picha kwenye profile/ avatar kama ni yako basi nimesha ku evaluate na kuku analyze, sitaki kusema mengi nisije kukuvunjia heshima, cha muhumu kila kitu humu usichukulie serious.
 
Habari za muda huu

Yaani wanaume wa humu sijajua ni dharau,ni Malaya,au wapoje kwasababu,kila mtu anakuona kama Malaya tu,mara oooh unatangaza biashara.

Mara sijui nini,kutongoza kwenyewe hawajui,mtu badala akubembeleze analazimisha kama vile anakujua,
Wengine ni kutamka pesa zao wakidhani kila mtu anavutika na pesa.

Jifunzeni kutongoza na kujieleza vizuri siyo kila mtu anapenda pesa.

Pesa tunapenda ndiyo lakini siyo za kuhongwa ndiyo maana tunafanya kazi.badilikeni
kwani hao wanaume wenyewe wanasemaje 🤣🤣🤣🤣
 
We kuwa wazi tu kuna aliyemega tundra hakukupa hata senti! Sio unakuja kuwaangushia hasira wanaume wote humu JF.
 
Back
Top Bottom