Wanaume wa humu mna dharau sana

Wanaume wa humu mna dharau sana

Si maneno matamu tu,na heshima pia
Ewaaaahh..!! Wakuheshimu kabisa, waambie hao…!! 👌

Na ulivyo kisu mdogo angu awwww usikubali kutoa bure, mpk waonyeshe adabu 😹🤣
 
Habari za muda huu

Yaani wanaume wa humu sijajua ni dharau,ni Malaya,au wapoje kwasababu,kila mtu anakuona kama Malaya tu,mara oooh unatangaza biashara.

Mara sijui nini,kutongoza kwenyewe hawajui,mtu badala akubembeleze analazimisha kama vile anakujua,
Wengine ni kutamka pesa zao wakidhani kila mtu anavutika na pesa.

Jifunzeni kutongoza na kujieleza vizuri siyo kila mtu anapenda pesa.

Pesa tunapenda ndiyo lakini siyo za kuhongwa ndiyo maana tunafanya kazi.badilikeni
Pole mkuu!

Hauwezi kuwa romantic au kufanya romance na oxygen.

Anonymously Id's zimetuficha sura na haiba, hauwezi kuwa romantic kwa mtu usiyemjua, yaani kuromantikia hewa.

Kwani wanaokuzukia pm wanakuwa ni madomo zege kiasi cha kuwapima hivyo na kuwaweka kundi moja?

Hata hivyo umeshindwa kusoma hulka na tabia za wanaume ambao wanakuwa bado hawana uhakika wa kupata mawindo yao kwa kulinganisha na wale ambao tayari wamefanikisha malengo, kwa dhahiri wako tofauti na hawawezi kulingana.

Emb pata mmoja basi uje na mrejesho, tuone kama hajui kubembeleza mwanamke kweli.

Nani alikukaririsha kuwa mwanaume kukuchomolea rundo la hela kabla ya penzi ni ulimbukeni?

Elewa kuwa wanaume wametofautiana mbinu za utongozaji, mwanaume mwingine akitangulia kumhonga mwanamke na akazipokea ndipo hujiamini vizuri sana na kuwa na uhakika wa penzi kwa kuamini kuwa unaponunua kitu kinakuwa ni cha kwako kukimiliki hata iwe kwa muda.

Zamami kwenye madisco kulikuwa na juke box, ukitamani muziki unaununua ili uchezwe, siyo kwamba ukiununua unaumiliki, hapana na kwa ajili ya kuchezwa na kusikiliza na habari kuishia hapo.

Na huu ndiyo mfano wake, usiwalaumu wanaokushobokea kukutangulizia burungutu la hela, hawana maana mbaya na hawakuoni kuwa wewe ni mslaya au ni maskini, hapana.
 
Kama nakuelewa vile, asante
 
Ewaaaahh..!! Wakuheshimu kabisa, waambie hao…!! 👌

Na ulivyo kisu mdogo angu awwww usikubali kutoa bure, mpk waonyeshe adabu 😹🤣
Haaaa😂
 
Kama vipi achana na wanaume wa humu ingia ama nenda kwa wanaume wengine ama mahala pengine. Pia nakushauri wasiliwana na Mungu awaumbe wanaume wawe unavyotaka wewe Mana Hawa aliowatengeneza wanakuzingua.
Ila pia unapiga kelele Kuna ishu Fulani ya psychological manipulation yaani unataka attention Fulani ili uzidi kupata space nyingi uzidi kuwa na uhakika wa probability ya kuendana na hisia zako
 
Uonavyo wewe
 
😹😹😹 Dada yako hiyo vipi?
Mi nakupa assist unajizungusha badala uweke goli nyavuni…. Hivi wewe Group O kweli? 🤣
Kwenda huko assist gani hiyo, assist niitakayo we unaijua, muendelezo wa group O.

Halafu group O sio okota okota.
 
Uonavyo wewe
Kama umeshindwa huko nje kupata mwanaume sio kuwa humu ni malaika ni walewale Walioko huko mtaani wanaokufahamu vyema.
Hata Kama ulitoa mimba ama uliachika inajulikana huko ulikokulia kuliko hapa mtandaoni.
Binadamu ni Yule bila kujalisha rangi kabila dini mahala alipo hapa duniani
 
Mbona unaniattack
 
Habari za muda huu

Yaani wanaume wa humu sijajua ni dharau,ni Malaya,au wapoje kwasababu,kila mtu anakuona kama Malaya tu,mara oooh unatangaza biashara.

Mara sijui nini,kutongoza kwenyewe hawajui,mtu badala akubembeleze analazimisha kama vile anakujua,
Wengine ni kutamka pesa zao wakidhani kila mtu anavutika na pesa.

Jifunzeni kutongoza na kujieleza vizuri siyo kila mtu anapenda pesa.

Pesa tunapenda ndiyo lakini siyo za kuhongwa ndiyo maana tunafanya kazi.badilikeni

WEWE UNAWEZA KUWA
1. MALAYA UNAYEJIUZA
2. MWANAUME UNAYETAKA KUTAPELI
3. LIUCHAFU/TAKATAKA/BWABWA/SHOGA
 
Back
Top Bottom