ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,789
- 127,972
Watu hawataki stress za kubebishana! Inaletwa na kuchakatwa, baada ya hapo kila mtu kona yake.Sasa wa Jf ndio wanazarau wanamtangulizia hela wakati binti anataka kupendwa kwa dhati
Watu hawataki stress za kubebishana! Inaletwa na kuchakatwa, baada ya hapo kila mtu kona yake.Sasa wa Jf ndio wanazarau wanamtangulizia hela wakati binti anataka kupendwa kwa dhati
Usumbufu kwa Mwanaume ktk kupata kitu sio ishu,muhimu .....Usijisumbue baba
Asichague sanaHuna kosa madam mzuri, kaa kwa utulivu utapata penzi...
Huwa wanasemaga HELA kwanza,ndio tunaenda na hiyo ,yy aje tu 50K ipo nisije kuinywea bia bure 😂🤣Sasa wa Jf ndio wanazarau wanamtangulizia hela wakati binti anataka kupendwa kwa dhati
Hapa ndo ulipobuginini,kutongoza kwenyewe hawajui,
Tayari watu mmeshayarahisisha mapenzi mwee!😀😀Watu hawataki stress za kubebishana! Inaletwa na kuchakatwa, baada ya hapo kila mtu kona yake.
Asa tufanye kitu kimoja,. em hiyo 50k niwekee kwanza kwenye namba yangu wakati nambembeleza bibie aikubali hela kabla hujabadili mawazo😛😛😛Huwa wanasemaga HELA kwanza,ndio tunaenda na hiyo ,yy aje tu 50K ipo nisije kuinywea bia bure 😂🤣
mbaya zaidi kaweka uhalisia wake,awe mtulivukwanza atatamani aikimbie id yake,. maana vijana watakuja kumfungulia uzi na mapdf ya hadi Lodge waliyoenda kunjunjana watayaweka hapa😂😂
Hayaambaya zaidi kaweka uhalisia wake,awe mtulivu
mwenyekiti naona unafukuzia jimbo jipyaprime minister (pm)
Waambie hao dada ,mara 40k mara 50 k mm sijiuziMerry leo umeingia kwa kati km Aziz Ki 😹
makaveli10 why hubembelezi unataja dau? Mrembo hapendi, weka pesa na ujitahidi lugha nzuri…!! 🤣
We mwanamke hebu niache mimi, usinigombanishe na da marry...🤣😂Merry leo umeingia kwa kati km Aziz Ki 😹
makaveli10 why hubembelezi unataja dau? Mrembo hapendi, weka pesa na ujitahidi lugha nzuri…!! 🤣
KwendraaHuyu dada jamani hajiuzi,mwaya marry naomba uni bless
Chanaaa nao mwaya mdogo angu migumegume hiyo imezoea kununua kimboka wakati wewe unahitaji maneno matraaamu..!! 😹😹😹Waambie hao dada ,mara 40k mara 50 k mm sijiuzi
Si maneno matamu tu,na heshima piaChanaaa nao mwaya mdogo angu migumegume hiyo imezoea kununua kimboka wakati wewe unahitaji maneno matamu..!! 😹😹😹