Wanaume wa huku muache mapozi

Wanaume wa huku muache mapozi

Wa kwanza duniani,wa mwisho mbinguni Lol mm naamini wa huku ndo safi huyo it came bahati mbaya tu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nifanyie mm hvo uone appointment ya saa kumi nakuja 8

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kuna siku nilitoa ombi langu la kutafuta mwenzi kwenye huu mtandao.walijitokeza watu wengi sana.
basi siku moja nikafanya appointment na mwanaume mmoja tukutane ili tujuane vizuri.tukapanga tukutane saa kumi na moja jioni pale steers!
mimi saa kumi na nusu nilikuwa pale,kumi na moja ikafika hajafika na nusu bado basi akatokea classmate wangu wa college,nilikuwa sijamuona siku nyingi kweli since nilivoenda nje kusoma 2009.tukapiga story nikaondoka nae tukahamia kiwanja kingine.tumetoka toka tumeamua kuingia kwenye relationship.
yule jamaa wa huku akaendelea kunisumbua ila sina feelings nae tena. mwanaume gani huwezi kukeep appiontment kwenye first date? nahukuru kwa kuchelewa pia maana huyu classmate wangu yuko very hot! hapa sibanduki! labda aniache.

Labda alisahau kununua condom akarudi tena dukani.
 
When the hunted become hunters. Desperation of some kind, I guess!
 
kuna siku nilitoa ombi langu la kutafuta mwenzi kwenye huu mtandao.walijitokeza watu wengi sana.
basi siku moja nikafanya appointment na mwanaume mmoja tukutane ili tujuane vizuri.tukapanga tukutane saa kumi na moja jioni pale steers!
mimi saa kumi na nusu nilikuwa pale,kumi na moja ikafika hajafika na nusu bado basi akatokea classmate wangu wa college,nilikuwa sijamuona siku nyingi kweli since nilivoenda nje kusoma 2009.tukapiga story nikaondoka nae tukahamia kiwanja kingine.tumetoka toka tumeamua kuingia kwenye relationship.
yule jamaa wa huku akaendelea kunisumbua ila sina feelings nae tena. mwanaume gani huwezi kukeep appiontment kwenye first date? nahukuru kwa kuchelewa pia maana huyu classmate wangu yuko very hot! hapa sibanduki! labda aniache.

Classmate ana hasara
 
angalau ungemshukuru jamaa kwa kukuweka steers muda ule mpaka ukaibuka na dege lingine.ila na wewe haujatulia!!!!!!!!!!!!!!jamaa kuchelewa kidogo ukaibuka na dege lingine???????????

Watu wanajishaua sana humu......anakwambia.....nipo hapa Kunduchi Beach napata gin kidogo.......kumbe yupo Hongera Bar.......chezeya JF wewe........[/QUOTE Mtambuzi alisema tuwe makini na watu wenye sura kama hii yako
 
Last edited by a moderator:
NatJ mi hata naogopa kuongea naye kwa sababu sijaamini bado kilichotokea,halafu eti ananiambia yuko serious!!,jamani hivi tunakwenda wapi?,aaaaaaaaaah!NatJ kama unae mzuri nambie LOL kwa nini lakini nahangaika halafu we upo na unawajua wazuri na wenye tabia nzuri mamii?!,halafu hata humu Jamvini naona wako wazuri tatizo labda wameshawahiwa na wajanja duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhhh!
copy to @FP
 
nlitaka kusema wewe ni mama zoazoa. kama unakosa uvumivu wa kusubiri tu, utaweza uvumilivu wa kwenye ndoa?. mia
 
angalau ungemshukuru jamaa kwa kukuweka steers muda ule mpaka ukaibuka na dege lingine.ila na wewe haujatulia!!!!!!!!!!!!!!jamaa kuchelewa kidogo ukaibuka na dege lingine???????????

utafikiri hajui foleni za dar. huyu inatosha kujua tabia yake bila kuumiza kichwa. hafai kuwa mke labda hawala. mia
 
Ndio wanaume hawa wa siku hizi visingizio kila mahali..Mtu unachelewa appointment na mambo mengine itakuwa hivohivo
 
Back
Top Bottom