naona aisee.duhmhhhhh, mwenzio yuko kizungu zaidi...
sakapal, first date unamkaribisha mtu kwako?? ama ni mimi nimezeeka...
classmate, lol!
tena akija tu naanza kutoa madaftari
mi nataka sehemu ambayo nitakuwa comfortable.........Hapana hapo Retired Sister alikosea japo @ FP anasema alifanya hivyo, hujazeeka ila kwa fairness ni vizuri wote mkakutana open space au public place tena ambapo hapauzwi kilevi kama sehemu za coffe/tea snacks au juice cafee au garden and the like places.
sijawahi kudate baada ya kugraduateNa kama mliisha graduate?
kuna siku nilitoa ombi langu la kutafuta mwenzi kwenye huu mtandao.walijitokeza watu wengi sana.
basi siku moja nikafanya appointment na mwanaume mmoja tukutane ili tujuane vizuri.tukapanga tukutane saa kumi na moja jioni pale steers!
mimi saa kumi na nusu nilikuwa pale,kumi na moja ikafika hajafika na nusu bado basi akatokea classmate wangu wa college,nilikuwa sijamuona siku nyingi kweli since nilivoenda nje kusoma 2009.tukapiga story nikaondoka nae tukahamia kiwanja kingine.tumetoka toka tumeamua kuingia kwenye relationship.
yule jamaa wa huku akaendelea kunisumbua ila sina feelings nae tena. mwanaume gani huwezi kukeep appiontment kwenye first date? nahukuru kwa kuchelewa pia maana huyu classmate wangu yuko very hot! hapa sibanduki! labda aniache.

NatJ mi hata naogopa kuongea naye kwa sababu sijaamini bado kilichotokea,halafu eti ananiambia yuko serious!!,jamani hivi tunakwenda wapi?,aaaaaaaaaah!NatJ kama unae mzuri nambie LOL kwa nini lakini nahangaika halafu we upo na unawajua wazuri na wenye tabia nzuri mamii?!,halafu hata humu Jamvini naona wako wazuri tatizo labda wameshawahiwa na wajanja duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhhh!
Hii kitu kwa jinsi ilivyo, unaweza ukakaa sehemu siku nzima unaisubiriambona uliwai eneo la tukio namna hiyo .khaa ulikesha hapo au?
wazur mbona wapo wengi tu ndugu... Ukizingatia vigezo na mashart tu unawapata.
dada kumbuka kuna usemi usemao LIKUEPUKALO LINA KHERI NA WEWE.....so shukuru tu huyo mkuu wa jf hakutokea na badala yake ukamit na huyo classmate wako....! (ila mwisho wa siku ishukuru tu jf kwa kukufikisha hapo kupitia huyo mkuu)
Wewe appointment unaweka Steers unafikiri kila mtu anafanya kazi migodini??
Pili umekuja kumtaarifu sasa kuwa upo na classmet wako?