Wanaume wa huku muache mapozi

Wanaume wa huku muache mapozi

Wewe ni sawa na mgomba uliokatwa ukaangushwa chini ukitegemea utapelekwa kuwa chakula cha ng'ombe,hatimae mafuriko yakaja kuuchukua...kafie mbele huko..Hatudanganyikii na uasherati.
kuna siku nilitoa ombi langu la kutafuta mwenzi kwenye huu mtandao.walijitokeza watu wengi sana.
basi siku moja nikafanya appointment na mwanaume mmoja tukutane ili tujuane vizuri.tukapanga tukutane saa kumi na moja jioni pale steers!
mimi saa kumi na nusu nilikuwa pale,kumi na moja ikafika hajafika na nusu bado basi akatokea classmate wangu wa college,nilikuwa sijamuona siku nyingi kweli since nilivoenda nje kusoma 2009.tukapiga story nikaondoka nae tukahamia kiwanja kingine.tumetoka toka tumeamua kuingia kwenye relationship.
yule jamaa wa huku akaendelea kunisumbua ila sina feelings nae tena. mwanaume gani huwezi kukeep appiontment kwenye first date? nahukuru kwa kuchelewa pia maana huyu classmate wangu yuko very hot! hapa sibanduki! labda aniache.
 
Huu utata sasa.itabidi tukutafute ili tuwe na uhakika na haya ayasemayo Black Bat
 
Last edited by a moderator:
kuna siku nilitoa ombi langu la kutafuta mwenzi kwenye huu mtandao.walijitokeza watu wengi sana.
basi siku moja nikafanya appointment na mwanaume mmoja tukutane ili tujuane vizuri.tukapanga tukutane saa kumi na moja jioni pale steers!
mimi saa kumi na nusu nilikuwa pale,kumi na moja ikafika hajafika na nusu bado basi akatokea classmate wangu wa college,nilikuwa sijamuona siku nyingi kweli since nilivoenda nje kusoma 2009.tukapiga story nikaondoka nae tukahamia kiwanja kingine.tumetoka toka tumeamua kuingia kwenye relationship.
yule jamaa wa huku akaendelea kunisumbua ila sina feelings nae tena. mwanaume gani huwezi kukeep appiontment kwenye first date? nahukuru kwa kuchelewa pia maana huyu classmate wangu yuko very hot! hapa sibanduki! labda aniache.

kuna uwezekano mkubwa kuwa jamaa alifika eneo la tukio ila hakupendezwa na mwonekano wako akaamua kusepa kimya kimya. tafsiri yako wewe ni kuwa jamaa anamapozi ila yeye ndiye anaeujua ukweli
 
mbona ye analalamika we kimeo?anadai kakufanyia makusudi as hujamvutia!!na akatoa onyo watu kuwa makini na wadada km nyie!!chek post yake ujionee!!
 
Nisamehe bure retired sister,nilifika nikakuchungulia kwa mbali nikaona huvutii kabisa af kuchek mezani ushaagiza madikodiko ya hatari,nikafanya cost benefit analysis kati ya jins ulivyo na bill pale kati,nkaonelea nirudi nyuma ya keyboard 2
 
kuna siku nilitoa ombi langu la kutafuta mwenzi kwenye huu mtandao.walijitokeza watu wengi sana.
basi siku moja nikafanya appointment na mwanaume mmoja tukutane ili tujuane vizuri.tukapanga tukutane saa kumi na moja jioni pale steers!
mimi saa kumi na nusu nilikuwa pale,kumi na moja ikafika hajafika na nusu bado basi akatokea classmate wangu wa college,nilikuwa sijamuona siku nyingi kweli since nilivoenda nje kusoma 2009.tukapiga story nikaondoka nae tukahamia kiwanja kingine.tumetoka toka tumeamua kuingia kwenye relationship.
yule jamaa wa huku akaendelea kunisumbua ila sina feelings nae tena. mwanaume gani huwezi kukeep appiontment kwenye first date? nahukuru kwa kuchelewa pia maana huyu classmate wangu yuko very hot! hapa sibanduki! labda aniache.[/QUOTE

itakuwa huna mvuto hata chembe hadi kutafuta wanaume mtandaoni wanaokufahamu probably wanakuxxx then wanasepa.... ur so cheap hata kama ni clasmate wako 1day tayari oooh he is so hoot shiiiiit... yaonekana mwanume kukutongoza ww ni kama umeokota dhahbu teteteeeehh.... i am sure jamaa yawezekana alikuchenga ili kujikosha ukaona ni bora useme umepata another man.....tulia mume atafutwi kwa nguvu kama hii utaendelea kugegedwa
 
Kweli wanawake mmeamua kuwa 'kiokote' sasa. Yaani umeenda kumendea mpododo wa Black Bat ukaishia kwa mwingine. Na mwenzako naye ameanzisha thread anaponda jinsi ulivyo hueleweki kama 'sigara kali' ambayo haijulikani mbele ni wapi na nyuma ni wapi.

Anadai alishindwa kufahamu kama wewe ni wa kiume, wa kike au half-cast wa jinsia.

By the way, tell me, umesema huyo jamaa 'huna feeling naye tena', unataka kuniambia kuwa ulishakuwa na feeling naye hata kabla hujamuona?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom