Yani nimeshanga sana Dada yangu huwezi amini nimeshikwa na Butwaa,unajua wengine wanafanya utani wakati wengine tuko Serious.na kama itafikia hapo sidhani kwama watawapata!!!
pole sana ndugu. Me sizani kama kuna mwanaume wa ukweli anayeweza kufanya utani wa namna hiyo, huyo jamaa anataka kuolewa kweli. Cha msingi we mwambie hautafuti sampuli hiyo unataka mwanamke wa ukweli nasi DUME JIKE..LOL.