figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,707
- 59,227
mademu kibao, tafuta hela kwanza demu baadae. miaNdio wanaume hawa wa siku hizi visingizio kila mahali..Mtu unachelewa appointment na mambo mengine itakuwa hivohivo
mademu kibao, tafuta hela kwanza demu baadae. miaNdio wanaume hawa wa siku hizi visingizio kila mahali..Mtu unachelewa appointment na mambo mengine itakuwa hivohivo
Smile hivi wewe tayari ulishampata?!,humu ndani Bwana kuna mtu kaniboa kweli,unajua mimi niko kwenye harakati za kuona nani atanifaa kwa sababu na ninyi mlishakuwa magumashi kweli,yani ni matatizo,kuna mwingine humu kasema anataka wa kumuoa ana miaka 23,lakini kumbe ni njemba sasa hii sijui inamaanisha nini?!,yani mi mpaka nachanganyikiwa!.
Mie hata sijakuelewa, hii umeiandika kama taarifa kwa wana JF ama unataka ushauri wao? Saa ingine najiuliza maswali kama haya; Je, ulitaka tujue kuwa mwaka 2009 ulienda nje kusoma? Ama je,unajinadi kwamba wewe ni wa Steers na si wa kukutana na mtu Temekeeeeee.... Mikoroshini? Au labda kuna unaowalingishia ya kuwa baada ya kuchoshwa na u_single, sasa umempata mchumba? Any way, mtizamo wangu si hitimisho, still you have freedom of speech! Acha nipite maana hata hivyo mie ni mpita njia tu, hapa sio mwenyeji!
kuna siku nilitoa ombi langu la kutafuta mwenzi kwenye huu mtandao.walijitokeza watu wengi sana.
basi siku moja nikafanya appointment na mwanaume mmoja tukutane ili tujuane vizuri.tukapanga tukutane saa kumi na moja jioni pale steers!
mimi saa kumi na nusu nilikuwa pale,kumi na moja ikafika hajafika na nusu bado basi akatokea classmate wangu wa college,nilikuwa sijamuona siku nyingi kweli since nilivoenda nje kusoma 2009.tukapiga story nikaondoka nae tukahamia kiwanja kingine.tumetoka toka tumeamua kuingia kwenye relationship.
yule jamaa wa huku akaendelea kunisumbua ila sina feelings nae tena. mwanaume gani huwezi kukeep appiontment kwenye first date? nahukuru kwa kuchelewa pia maana huyu classmate wangu yuko very hot! hapa sibanduki! labda aniache.
ata mie ningekataa...nije kwako je kama wataka kunibaka nitajuaje
Au alikuwepo akaona mbofumbofu umeboka akaona heri lawama kuliko fedhea!sisi tumeshaondoka ndo na yeye anapiga kelele uko wapi nikufate!nikamwambia hutakiwi tena
sana tu hana akili
Tuache utani. Hii thread yako inanikumbusha zamani kidogo nilivokua naanza kazi, nilikuwa nafanya kazi ya kudeal na wateja online. Si nikamtongoza dada mmoja alikuwa na sauti nzuri sana. Sasa siku ya siku tukapanga apointment, du kilitokea kitu cha ajabu, yule dada ni mbaya kwa sura kwa kweli. Uzuri tulikubaliana tukutane kituo cha basi, nikajificha kwa mbali nione anayepokea simu, nilikoma kabisa na sitorudia tena.
sipendi longolongo
Wewe appointment unaweka Steers unafikiri kila mtu anafanya kazi migodini??
Pili umekuja kumtaarifu sasa kuwa upo na classmet wako?
but ungempa muda dada,,,,huyo asijekuwa waleeee...chovya chovya...sisi tumeshaondoka ndo na yeye anapiga kelele uko wapi nikufate!nikamwambia hutakiwi tena
mbona uliwai eneo la tukio namna hiyo .khaa ulikesha hapo au?