mimi sio mbakaji.pia nyumbani kuna watu wengine
ah wapi ulionaga wapi first date inakuwa kwenye nyumba ya mtu....neutral venue ndio mpango mzima
mimi sio mbakaji.pia nyumbani kuna watu wengine
mimi ni mgeni dar sijui maeneo zaidi ya nyumbani na ofsini.ah wapi ulionaga wapi first date inakuwa kwenye nyumba ya mtu....neutral venue ndio mpango mzima
mimi ni mgeni dar sijui maeneo zaidi ya nyumbani na ofsini.
kuna siku nilitoa ombi langu la kutafuta mwenzi kwenye huu mtandao.walijitokeza watu wengi sana.
basi siku moja nikafanya appointment na mwanaume mmoja tukutane ili tujuane vizuri.tukapanga tukutane saa kumi na moja jioni pale steers!
mimi saa kumi na nusu nilikuwa pale,kumi na moja ikafika hajafika na nusu bado basi akatokea classmate wangu wa college,nilikuwa sijamuona siku nyingi kweli since nilivoenda nje kusoma 2009.tukapiga story nikaondoka nae tukahamia kiwanja kingine.tumetoka toka tumeamua kuingia kwenye relationship.
yule jamaa wa huku akaendelea kunisumbua ila sina feelings nae tena. mwanaume gani huwezi kukeep appiontment kwenye first date? nahukuru kwa kuchelewa pia maana huyu classmate wangu yuko very hot! hapa sibanduki! labda aniache.
tukapanga tukutane saa kumi na moja jioni pale steers!
mimi saa kumi na nusu nilikuwa pale,kumi na moja ikafika hajafika na nusu bado basi akatokea classmate wangu wa college,nilikuwa sijamuona siku nyingi kweli since nilivoenda nje kusoma 2009.tukapiga story nikaondoka nae tukahamia kiwanja kingine.
mbona uliwai eneo la tukio namna hiyo .khaa ulikesha hapo au?
nilimwambia aje nyumbani akakataa akasema tuonane steers
nilimwambia aje nyumbani akakataa akasema tuonane steers
kuna siku nilitoa ombi langu la kutafuta mwenzi kwenye huu mtandao.walijitokeza watu wengi sana.
basi siku moja nikafanya appointment na mwanaume mmoja tukutane ili tujuane vizuri.tukapanga tukutane saa kumi na moja jioni pale steers!
mimi saa kumi na nusu nilikuwa pale,kumi na moja ikafika hajafika na nusu bado basi akatokea classmate wangu wa college,nilikuwa sijamuona siku nyingi kweli since nilivoenda nje kusoma 2009.tukapiga story nikaondoka nae tukahamia kiwanja kingine.tumetoka toka tumeamua kuingia kwenye relationship.
yule jamaa wa huku akaendelea kunisumbua ila sina feelings nae tena. mwanaume gani huwezi kukeep appiontment kwenye first date? nahukuru kwa kuchelewa pia maana huyu classmate wangu yuko very hot! hapa sibanduki! labda aniache.
Smile hivi wewe tayari ulishampata?!,humu ndani Bwana kuna mtu kaniboa kweli,unajua mimi niko kwenye harakati za kuona nani atanifaa kwa sababu na ninyi mlishakuwa magumashi kweli,yani ni matatizo,kuna mwingine humu kasema anataka wa kumuoa ana miaka 23,lakini kumbe ni njemba sasa hii sijui inamaanisha nini?!,yani mi mpaka nachanganyikiwa!.
usishangae mkuu, sikuhizi hata wanaume wanaolewa, bado tu ndoa zao kualalishwa kama South.
Mie hata sijakuelewa, hii umeiandika kama taarifa kwa wana JF ama unataka ushauri wao? Saa ingine najiuliza maswali kama haya; Je, ulitaka tujue kuwa mwaka 2009 ulienda nje kusoma? Ama je,unajinadi kwamba wewe ni wa Steers na si wa kukutana na mtu Temekeeeeee.... Mikoroshini? Au labda kuna unaowalingishia ya kuwa baada ya kuchoshwa na u_single, sasa umempata mchumba? Any way, mtizamo wangu si hitimisho, still you have freedom of speech! Acha nipite maana hata hivyo mie ni mpita njia tu, hapa sio mwenyeji!kuna siku nilitoa ombi langu la kutafuta mwenzi kwenye huu mtandao.walijitokeza watu wengi sana.basi siku moja nikafanya appointment na mwanaume mmoja tukutane ili tujuane vizuri.tukapanga tukutane saa kumi na moja jioni pale steers! mimi saa kumi na nusu nilikuwa pale,kumi na moja ikafika hajafika na nusu bado basi akatokea classmate wangu wa college,nilikuwa sijamuona siku nyingi kweli since nilivoenda nje kusoma 2009.tukapiga story nikaondoka nae tukahamia kiwanja kingine.tumetoka toka tumeamua kuingia kwenye relationship.yule jamaa wa huku akaendelea kunisumbua ila sina feelings nae tena. mwanaume gani huwezi kukeep appiontment kwenye first date? nahukuru kwa kuchelewa pia maana huyu classmate wangu yuko very hot! hapa sibanduki! labda aniache.
kuna siku nilitoa ombi langu la kutafuta mwenzi kwenye huu mtandao.walijitokeza watu wengi sana.
basi siku moja nikafanya appointment na mwanaume mmoja tukutane ili tujuane vizuri.tukapanga tukutane saa kumi na moja jioni pale steers!
mimi saa kumi na nusu nilikuwa pale,kumi na moja ikafika hajafika na nusu bado basi akatokea classmate wangu wa college,nilikuwa sijamuona siku nyingi kweli since nilivoenda nje kusoma 2009.tukapiga story nikaondoka nae tukahamia kiwanja kingine.tumetoka toka tumeamua kuingia kwenye relationship.
yule jamaa wa huku akaendelea kunisumbua ila sina feelings nae tena. mwanaume gani huwezi kukeep appiontment kwenye first date? nahukuru kwa kuchelewa pia maana huyu classmate wangu yuko very hot! hapa sibanduki! labda aniache.
Whaaaat!!!!!!!!!
:tape2::tape2::tape2:
Inawezekana huyo classmate ndiye mwanaJF mwenyewe...nilimwambia aje nyumbani akakataa akasema tuonane steers