Wanaume wa dsm hao, chips kuku wa kizungu!!!

Maswala ya kuanikana kwenye mitando bila ridhaa tutakuja kushtakiana muda si mrefu... Sheria za mitandao zipo!!
 
Ukike kufatilia maisha ya mwanaume mwenzako, eti anakula nn ana vaa vp .. acheni ujinga.
 
yap yupo vzr, kuna wanaomaliza miezi hawajaonja hicho chakula.. hadi kutokee msiba wa mwenye hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…