hahahaaa!
aisee.. mkuu halua na tende ni ndugu?
niwekee pcha ya halua aisee... siijui
kweli mura.. baada ya hapo ni kushika jembe au kwenda kuchunga kisha tuwauzie wanaume wa Dar wale popcorn.. teh tehKwetu watu wawili tu wanashusha yote harafu maziwa mgando yanafuata.
daah!
Wale nao wanasifa ya kuwa wavivu. Wanapenda sana kulelewaSubiri tuimport wanaume kutoka Zaire.
Ukiona hivo ujue we ni mwanaume Dar kwahyo huo msosi haukuhusu ndio maana hujauona....njoo hapa kikuyu mwisho mama naniii anapikanimekaa Dodoma mjini sijaona sampuli ya maugali hizo, labda vijijini
kama uko dar mura angalia sana usije ukarudi home ukakataa msosi wa kwetu..Aiiiiiii misi sana hiyo kitu, af pemben kuna sinia ya machungwa aiseeee hapo Niko musoma( kwangwa) duuh acha tu
Hata Mm nshatoa Tamko wamalizie Nyumba yangu Nihamie Musoma haraka sana.Hata waziri mkulu Ka[emoji338] amesha tangaza kuhama Dar kuanzia September 2016
ulivandahu ngojo?Ndeti lidemi.
Kuvugabwa(ugabwa) karibu na kwilevelo au komalevotsiulivandahu ngojo?
Une hwane huvulongwa.Kuvugabwa(ugabwa) karibu na kwilevelo au komalevotsi
Mura yaan n maisha tu ya utafutaji lkn hii kitu hii siwez vunga uti sili pind nkirud home yaan ntapiga sana murakama uko dar mura angalia sana usije ukarudi home ukakataa msosi wa kwetu..
mosubhati charminglady anajua sana kuandaa misosi ya nguvu kama hii
leo umewavalia njuga sana wana dar.vipi hawakufikishi kibo na mawenzi??Wewe utakuwa mwanaume wa Dar.