housegirl
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 3,125
- 2,194
me hapa Naona ugali na supu, na hiyo pembeni sijui mafuta ya kula.Huo ndo Msosi wa wanaume sio chipsi yai na mshikaji mmoja tena unafinyango 3 eti umekula ukinywa Castle Lite 2 unajiona umepatia kumbe unajiua kimya kimya
kula ugali Dona wenye afya,
huyo zagamba wako akipanda akipanda kifuani dakika 2 tu hoi hadi kesho
hiyo ya njano ni nini eti?