bowlibo
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 3,209
- 2,920
opposite makaburi ya kinondonibreak point wamehamia wapi mkuu?
opposite makaburi ya kinondonibreak point wamehamia wapi mkuu?
hapo mkuu lazima usande, kijana ana nguvu balaa!Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha, hapo ni kitu cha watu wawili tu, very interesting
Sijasema nyama ya swala na nyati rost ila ninajua ugali wa mtama, mhogo, nyanya chungu na matembele vipo.ngoja kesho nipitie pale nione kama kuna ugali wa mhogo na nyama ya swala au nyati (rosti)
heeeSijasema nyama ya swala na nyati rost ila ninajua ugali wa mtama, mhogo, nyanya chungu na matembele vipo.
mkuu tunasindikiza na papai, hehe... tunajua namna ya kunyutrolaiz.. heheWakati wa kujisaidia ndio utajua shida yake.
Ila ukila hiyo nguna asubuhi, mchana hauli kitu yaani unakunywa maji tu.
Asante mkuu.opposite makaburi ya kinondoni
hahahaa! eti kulamba ice cream.. daah inakera sana mkuu!Hio kitu vidume viwili tunaishusha kiualaaaaani!!! Kama mwanaume wa dar anavyoramba icecream!!!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
East Zoo!!! Home cwt home
dar mkuu nga robo... mtu tunashindia... lolest..Wanaume wa Dar?? Ndio maana Rais anakimbia hataki kuitwa hivyo
mkuu nimekustukia umetamani kuku tu.. tukuache na mlenda tuone!Huo wanipe nusu saa tuu namaliza bila wasiwasi nakunywa na maji Lita 1
Huo hata mkavu mkavu na chumvi unaendaaamkuu nimekustukia umetamani kuku tu.. tukuache na mlenda tuone!
Mkuu leo umenitia aibu aiseeee [emoji23] [emoji23]Huo ugali Wa ngano nn?
Ndio sababu hua tunashushia na kichuri[emoji39]Huo sio mlo kamili. Kula balanced diet sio kushindilia tu kujaza tumbo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaume wa Dar hapo watatafuta umma na kisu.
Wanawake wa Dar walisha anza kwa halua na dawa[emoji12]wanaume wa dar watasema ugali mchungu wanaomba halua watafunie huo ugali.
Hii ni breakfast tu kabla ya kwenda machungani. Nani amesema mlo mara moja?Huku Dar hatuendi machungani au shambani kusema mlo mara 1 kwa siku.