game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,395
- 27,124
Madam itakuchukua muda sana kuyaelewa haya mambo,sijaona upishi hapo bother....
Naona comedy tu.
Kama Ulitaka supu bora ungekula na chapati au mkate... sio ugali.
kwanza ni supu au maji yalichemshia kuku?
😀
kwaheri
Japo sikulaumu.huyo kuku ni mtamu Mara 100 akiwa chukuchuku kuliko mkianza kumharibu na maviungo..
kwa upande wangu chukuchuku yoyote ile huwa naielewa sana, labda kwa sababu ya mazingira nimelelewa,
Mimi wife anichemshie tu nyama nyingi na anijazie chuzi jingi lisilo na kiungo chochote,
Au anichemshie majani ya maharage chukuchuku na dona safi na samaki wa maji safi..[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] ,