Plan Of Action
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 462
- 382
Hii dozi ya miezi 6, lazima kaheshima karudi kidogo! teh teh
Tena hao 20 watatafuta sahani wagawane.Nakuhakikishia wanaume wa dar watakaa watu 20 kwa hiyo ngunga lakini siye watu 3 tu ngoma inafiti
Wewe utakuwa mwanaume wa Dar.Huo ugali Wa ngano nn?
Captain ndani ya sufuria kuna mlenda na matembele.Huo sio mlo kamili. Kula balanced diet sio kushindilia tu kujaza tumbo
Ugali wa ngano.?Kitu ngano enzi hizo nipo makete
Vitamin C ina upikaji wake babe...... mlenda wengi wanajaza tumbo, pamoja na matembere.Captain ndani ya sufuria kuna mlenda na matembele.
Mi nilifikiri chipsi Kuku.Tena hao 20 watatafuta sahani wagawane.
Ndeti lidemi.Kitu ngano enzi hizo nipo makete