Wanaume wa Dar Karibuni mlo!..

Wanaume wa Dar Karibuni mlo!..

Kama yalivyo matumizi mabaya ya fedha na haya ni matumizi mabaya ya chakula, chakula cha familia 5 mnakulaje watu 3?
 
Hio kitu vidume viwili tunaishusha kiualaaaaani!!! Kama mwanaume wa dar anavyoramba icecream!!!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
East Zoo!!! Home cwt home
Nyie msije mjini mtakufa kwa njaa maana ukubwa wa ugali huo mama ntilie anauza kwa watu karibia 100.
 
Mkuu umewahi kuwasikia panya road huku mikoani? Unafikir kwann hawako wapo dar tu?
Dar unakuta jitu lina miaka 35 lakn bado Linalala kwa baba na mama

Panya road wanatembea kundi ila kale kajamaa kalikua alone mzee ilikuaje na miugali mikubwa mkashindwa kukadhibiti?
 
Mi siwezi kuyala hayo hata kwa kiboko.


Teh!, afadhali umekuwa mkweli lakini subiri kuitwa mwanaume wa Dar.
As if kula hivyo ni lazima, wakati ni unbalanced with a ton of carbs.
 
Wanaume wa mikoani wanakula ilimradi tu.

Uwakika WA kula nao unahitajika. Alafu siunajuwa watu wengi WA vijijini wanajijengea vijumba vya nyasi Na matope Na fimbo.. Sasa chakula chao kikubwa ni ugali Na maharage. Si kwamba wanapenda kula hivyo. La hasha ni ukosefu wa pesa kubadili msosi., Kama unataka kuamini angalia Kama kukiwa Na sherehe au msiba vijijini uone watu wanavyoutolea macho wali au pilau., Kwa usongo anaweza kula sahani hata saba Mtu mmoja.. Sisi WA dar tunawaza pesa WA wanawaza kula., msipende sana wazee huo ugali ukimaliza hapo ulipewa manzi siunaweza hata kulala wakati WA tendo
 
Kama yalivyo matumizi mabaya ya fedha na haya ni matumizi mabaya ya chakula, chakula cha familia 5 mnakulaje watu 3?
kila kitu kinaendana na input... kazi ifanywayo baada ya hapo si ya kitoto jombaa
 
1470759408090.jpg
 
Dah msos wa kiume huo,wanaume wa Dar washazoea chips hao
 
Dah! aisee hiyo imenikumbusha mbali sana kule Tarime aisee na kichuri pembeni unashusha tu tonge nyama, tonge nyama.

wanaume wa Dar wengi wao wanaishi kwa mizinga na presha za maisha aisee Ugali kama huo ataupata wapi?

Namangana
 
mnavyotakaga wake zenu wawapikie kumbe Ndo mnapikiwaga hivyo??

😀 😀 kuna wanawake wajanja sana
 
Dah! aisee hiyo imenikumbusha mbali sana kule Tarime aisee na kichuri pembeni unashusha tu tonge nyama, tonge nyama.

wanaume wa Dar wengi wao wanaishi kwa mizinga na presha za maisha aisee Ugali kama huo ataupata wapi?

Namangana
Ukimaliza unashushia togwa,mamb yanaenda saaaaaf
 
mnavyotakaga wake zenu wawapikie kumbe Ndo mnapikiwaga hivyo??

😀 😀 kuna wanawake wajanja sana


Huo ndo Msosi wa wanaume sio chipsi yai na mshikaji mmoja tena unafinyango 3 eti umekula ukinywa Castle Lite 2 unajiona umepatia kumbe unajiua kimya kimya

kula ugali Dona wenye afya,

huyo zagamba wako akipanda akipanda kifuani dakika 2 tu hoi hadi kesho
 
Back
Top Bottom