Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,852
- 113,302
Niipata pale makumbusho ikiwa na nyama choma na kichuri pembeni[emoji39]Kuna migahawa Dar wanapika hii kitu mkuu, ndenda makumbusho pale unaipata fresh.
Niipata pale makumbusho ikiwa na nyama choma na kichuri pembeni[emoji39]Kuna migahawa Dar wanapika hii kitu mkuu, ndenda makumbusho pale unaipata fresh.
sitakaa nisahau,Hii ni breakfast tu kabla ya kwenda machungani. Nani amesema mlo mara moja?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wanaume wa Dar?? Ndio maana Rais anakimbia hataki kuitwa hivyo
Ndiomaana hamushi kulia kwamba heshima imeshuka kwenye 6×ngapi sijuiMi siwezi kuyala hayo hata kwa kiboko.
hahahaaa!Wanawake wa Dar walisha anza kwa halua na dawa[emoji12]
Subiri tuimport wanaume kutoka Zaire.Ndiomaana mamushi kulia kwamba heshima imeshuka kwenye 6×ngapi sijui
Mkuu naona unaulizia kwa umakiniii.....[emoji1]wameshahama pale, si unamaanisha brake point? au ni wapi
Daaa mate yamenija gafla na hiyo mboga .... Daaa[emoji37]![]()
Hii dozi ya miezi 6, lazima kaheshima karudi kidogo! teh teh
Kumbe ndio sababu ya prezdaa kuamua kuhama Dar[emoji13] [emoji23] [emoji12]Wanaume wa Dar?? Ndio maana Rais anakimbia hataki kuitwa hivyo
Kwa mwanaume wa Dar, inawezekana aiseeee....hahahaa! eti kulamba ice cream.. daah inakera sana mkuu!
Hivi ice cream unaweza kushindia hata kwa nusu saa?
Mkuu...Huku Dar hatuendi machungani au shambani kusema mlo mara 1 kwa siku.
Tupa kule. Kula siyo sifa. Sifa ya mwaume PESA ! IKIWEZEKANA DOLLA.PAUND.EURO.
Sio maugali.
wa Dar utawajua tu... kwanza sibishanagi na wanaume wa Dar.. hahaa.. natania mkuuTupa kule. Kula siyo sifa. Sifa ya mwaume PESA ! IKIWEZEKANA DOLLA.PAUND.EURO.
Sio maugali.
mwambie mkuu!Ninakubaliana na wewe kabisa mwanaume pesa ndiyo maana wanaume wa bara wakishauza madume 5 ya ng'ombe wanakuja kulipa kodi ya nyumba kwa mamiss wenu na nyinyi mnapata mteremko wa maisha.
Kitu ngano enzi hizo nipo makete
Mutengue ikhyakwanyie!! ejio ngongilweNdeti lidemi.
Hata waziri mkulu Ka[emoji338] amesha tangaza kuhama Dar kuanzia September 2016Mkoani Raha sana, Kwa muda nilokaa Dar nshakua kama hawa majamaa.
Ntarudi Musoma nkare kichuri Bana.
hapo hamna mifuta boss!Hiyo mifutafuta hapo si maradh hayo.