Wanaume wa dar hii too much

Wanaume wa dar hii too much

Ndiyo maana dada zenu wanajazwa mimba dar kwa upopoyoyo kama huu wa kufungua thread za kijinga.

Mimba mujaze nyinyi!!!!!!....mpaka mnywe supu ya pweza na kuongezea vumbi congo

Thubutu, wanatokanazo mikowani kuwabambikia nyinyi wa Dalisalama msioweza kutia mimba.... Ili mlee

Ukipima DNA tofauti
 
We kuja Dar unapanda punda?

Kuinua gari ili ubadili tairi unatumia kalio?

Tatizo hiyo jack kuinuwa huwezi.....mpaka awepo wa mkowani ndo ashughulike

Mikono laini kama dada zetu, wanaume wa Dalisalama shiiida
 
We kuja Dar unapanda punda?

Kuinua gari ili ubadili tairi unatumia kalio?
Mkuu huyo jamaa uliyemquote hujamuelewa.

Hapo kaorodhesha vitu ambavyo hata mwanaume wa mkoani lazima avifanye kwa kutumia nyenzo. Hapo ni kudhihirisha kuwa kuna vitu lazima utumie nyenzo kuvifanya tofauti na mleta uzi ambaye amewanyoshea kidole wanaume wa Dar kwa ujumla.

Pia sio kwamba wanaume wa Dar wanashindwa kumenya Miwa, huku ni mjini na usafi unazingatiwa ndio maana kuna watu mahsusi wa kumenya au kukamua miwa ili kurahisisha hali ya usafi maana takataka mumenyaji anazihifadhi na kwenda kuzitupa sehemu maalum lakini walio wengi huko mkoani ni bush kama picha inavyoonesha jambo ambalo usafi sio kivile kama mjini ndio maana hawaoni ajabu kutupa taka taka ovyo huku wakijinasibu ni vinara wa kumenya miwa.
 
Mkuu usafi dalisalama?

Kweli?.....hicho kipundupindu mbona hakiishi?

Vyoo hutapishwa mvua zikinyesha

Wanaume wa Dalisalama..... MUNGU anawaona kuchafua mazinigira
 
Kipindu pindu kinasababishwa na uchafu wa msalia ya miwa pekee?
 
Umesema dalisalama kusafi kwasababu mnazingatia kanuni

Hebu isome tena post yako ya awali Mh ukielewa urudi kujadili
 
Ila wanaume wa Dalisalama wanaubunifu wa ajabu

Ukipita mitaa ya ndani mwananyamala, magomeni nk

Vyoo vikijaa wanajenga kagorofa kuongeza volume ya ku- occupy kinyesi.....wakisubiria kutapisha mnvua ikishuka

Dalisalama.....??????
 
Nyie semeni wanaume wa dar walegevu ivoivo mi shakutana nae mmoja na amezaliwa na kukulia dar bwana hiyo shughuli yake SIITAKI,

Alikudanganya.....huyo

Alijuwa akikwambia ni mnyamwezi wa goweko au nyahuwa utampiga pakubwa
 
Umesema dalisalama kusafi kwasababu mnazingatia kanuni

Hebu isome tena post yako ya awali Mh ukielewa urudi kujadili
Palipo na masalia ya miwa, ukayatoa na kusafisha hiyo sehemu, huo sio usafi?

Hapa tunazungumzia miwa maana ndio mada iliyopo mezani
 
umasikini wa mawazo ni umasikini kushinda wote ...
Kwanza nkuulize unafanya kaz gan ama shuhuli gan na kipato chako ni kias gani tuanzie hapo kwanza
 
Palipo na masalia ya miwa, ukayatoa na kusafisha hiyo sehemu, huo sio usafi?

Hapa tunazungumzia miwa maana ndio mada iliyopo mezani

Mkuu ukiambiwa unatazama kwa mapana yake

Maudhui ni ulegevu na ulaini wa wanaume wa Dalisalama kwa mambo mengi

Huyu mtaalam katumia ile kitu wataalam wa kishwahili wanasema Tamathali za semi

Mafumbo na tafsida..baini.... Takriri nk
 
Back
Top Bottom