Wanaume wa dar hii too much

Wanaume wa dar hii too much

Wanaume wa Dar wanashinda k/koo

Mwananyamala.....mbagala langi tatu na

Kwa mtogole

Mambo ya shamba watayaweza wapi?

Kutwa kubishania Simba na yanga kama kaka yenu MANARA

hahahahahhaaa after all wanapendeza na kufanya mambi yao na hukuti siku anakuambia ana dhiki sasa wewe kutoka mkoa fata nyayo lazima urudi kwenu
 
Wanaume wa Dar wana laana!!
 
Attachments

  • IMG_20171201_232750_909.JPG
    IMG_20171201_232750_909.JPG
    27.6 KB · Views: 45
Tunakula ugali wa matama

Maziwa mgando

Kisanvu na nswalu au sansa zilizungwa karanga

Hayo mafuta yenu ya korie hukohuko dalisalama
Mbona una muandiko mlaini sana aisee,isije ikawa nachart na chakula hapa
 
Hivi nyie wa mikoani mtaacha lini ushamba

Mkuu ukifika huku
Ugali wa mtama hakuna ubwabwa, wali, biliani wala pilau.... Hakuna chips yai huku...fully asilia

Mziwa mgando, matembele, kisanvu, swalu, sansa viungo karanga sio korie

Mlenda kwa mbali na ngogwe....mwanamke hatarudi dalisama jinsi ndoa inavoimarika
 
Ona ulivyokuwa mshamba.

DAR KUNA MASHAMBA YA MPUNGA?
Si ninyi ndo mnaongoza kulima MPUNGA huko.
 
Ona ulivyokuwa mshamba.

DAR KUNA MASHAMBA YA MPUNGA?
Si ninyi ndo mnaongoza kulima MPUNGA huko.

Mkuu tunajivunia nguvu na ujasili

Kuwalisha nyinyi na bwana zenu wa chips yai...

Tupongezeni basi... Mgekufa njaa nyinyi na hao wa goli moja hoi
 
Tafakali comments zako zipo kijikejike

Mwanaume hawezi shangaa mpunga kutoka shambani....ila wa Dalisalama maana saloon ndo kwao
Sasa unavyosema wanaume wa dar. Tunakula tu ubwabwa na chips.
Huko mikoani mnakula mawe?
wakati huko ndo mpunga mnalima.
 
Sasa unavyosema wanaume wa dar. Tunakula tu ubwabwa na chips.
Huko mikoani mnakula mawe?
wakati huko ndo mpunga mnalima.

adolay said:

Mkuu ukifika huku
Ugali wa mtama hakuna ubwabwa, wali, biliani wala pilau.... Hakuna chips yai huku...fully asilia

Maziwa mgando, matembele, kisanvu, swalu, sansa viungo karanga sio korie

Mlenda kwa mbali na ngogwe....mwanamke hatarudi dalisama jinsi ndoa inavoimarika
 
Kweli macho ya Tanzania yote ni hapa dar tu.
Sasa kama hili tu kwenu ni maajabu.
Basi kila siku itabaki kuwa,
Wa mwisho ni wa mikoani na wa mikoani ndio wamwisho.
 
Mara ya mwisho wewe kula ubwabwa ni lini?
 
Kweli macho ya Tanzania yote ni hapa dar tu.
Sasa kama hili tu kwenu ni maajabu.
Basi kila siku itabaki kuwa,
Wa mwisho ni wa mikoani na wa mikoani ndio wamwisho.

Maajabu yanasababishwa na ulegevu wenu

- panya road

-Vyeti feki....wengine wanatoshwa yeye hata...
 
Wacha mkuu ndo mnarahisha kazi mpaka kujichubuwa kwa technology lengo nini hasa wanaume wa Dalisalama?
kujichubua na juice wapi na wapi mkuu, mbona unakimbia mada
 
Back
Top Bottom