Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,549
Ka shoga flan ivKwani we mkuu wao Wa mkoa unamuonaje????
Ka shoga flan ivKwani we mkuu wao Wa mkoa unamuonaje????
Hapo hoja nadhani sio ulegelege wa wanaume wa Dar bali ni wivu tu wa jamaa hao kwa kuona wenzao wanatumia zaidi machine kwenye idara nyingi kurahisisha mambo. Kuna wale wanaomini kwakua yeye alisoma kwa taabu ya kutembea maili nyingi kwenda shula. basi na mwanae lazima apitie mateso yaleyale japokuwa zama zimebadilika. Na pengine tafsiri ya maendeleo inatofautiana kati ya jamii moja na nyingine.Naombeni mfanye utafiti wa kitaalamu na wa kuridhisha kubaini ukweli juu ya hoja yenu.
Ila mkibaki kutumia mifano midogo midogo isiyokuwa na uhalisia hapo mnakuwa mnadanganya.
Kwenye huo utafiti ndio uangalie kwa upana jinsi unavyosema ili kupata majibu sahihi.
Pia mkumbeke kuwa asilimia kubwa ya hao wanaume wa Dar wametokea mikoani.
Mzee naona wewe ndo ulinielewa vizuri. Hawa jamaa matumizi ya machine kwao ni uleglegeMkuu huyo jamaa uliyemquote hujamuelewa.
Hapo kaorodhesha vitu ambavyo hata mwanaume wa mkoani lazima avifanye kwa kutumia nyenzo. Hapo ni kudhihirisha kuwa kuna vitu lazima utumie nyenzo kuvifanya tofauti na mleta uzi ambaye amewanyoshea kidole wanaume wa Dar kwa ujumla.
Pia sio kwamba wanaume wa Dar wanashindwa kumenya Miwa, huku ni mjini na usafi unazingatiwa ndio maana kuna watu mahsusi wa kumenya au kukamua miwa ili kurahisisha hali ya usafi maana takataka mumenyaji anazihifadhi na kwenda kuzitupa sehemu maalum lakini walio wengi huko mkoani ni bush kama picha inavyoonesha jambo ambalo usafi sio kivile kama mjini ndio maana hawaoni ajabu kutupa taka taka ovyo huku wakijinasibu ni vinara wa kumenya miwa.
Aisee nimefurahi sana kwa kunielewa. Nimeona wengi hasa hawa wanaojisifu kubakia kwenye karne iliyopita hawakuelewa kabisaa.Hii post nimeanza kuipita muda mrefu sikuielewa.
Shukrani mkuu kwa post nzuri
Pamoja sana mkuuAisee nimefurahi sana kwa kunielewa. Nimeona wengi hasa hawa wanaojisifu kubakia kwenye karne iliyopita hawakuelewa kabisaa.
Eti wanaongeza na tupilipili kidogo,ili wanywe maji mengi.Tena wanakamuliwa na ndimu au limao,mahindi wanakula kwa ndimu na chumvi ndo maana moja ya gazeti limesema uzazi shida huko.


Jaman mnaposema wanaume wa dar muwe mnaangalia kwan kunawatu pale hua hawachezewi
Jazba hiiHao hao wa mikoani wakija hapa hawakawii kuwa mashoga, mifano mungi tu.
hah......haah ........hawajakutana na wanawake weupe lazima wakwame!Jaman mnaposema wanaume wa dar muwe mnaangalia kwan kunawatu pale hua hawachezewi
Siyo jàzba mkuu wangu si unamkumbuka yule Kaoge? Mwingine naogopa kumtaja .Jazba hii
Mkuu sio wote tuna midomo ya Bata.Tena wanakamuliwa na ndimu au limao,mahindi wanakula kwa ndimu na chumvi ndo maana moja ya gazeti limesema uzazi shida huko.