mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,789
Nimekuuliza Mara ya mwisho kula ubwabwa ni lini?Ubwabwa chakula cha legelege huko dalisalama
Niulize Dona, uji wa ukezi, ubuyu, ukwaju, mapera nk
Nimekuuliza Mara ya mwisho kula ubwabwa ni lini?Ubwabwa chakula cha legelege huko dalisalama
Niulize Dona, uji wa ukezi, ubuyu, ukwaju, mapera nk



Kwahiyo kukamua juice ni ulegevu.??Maajabu yanasababishwa na ulegevu wenu
- panya road
-Vyeti feki....wengine wanatoshwa yeye hata...
Wee ulitaka wafanyeje
Mvua zimechanganya mikoani ila unashangaa wapo JF wanashindana ku-post ivi mashamba mnaandaa muda gani,sisi tunasaka sarafu ili tuwatume mulime kwa tabia hii tutawakaushia maana hamko serious mjue,vijana wa mikoani wana sonono hasa wakiona bata za Tanzania uku wanatamani kuja ila vyuma sasa![]()
Nani analima usiku huu?
Ngoja tuwapashe saa hizi asubuhi tunaingia shambani
Kwahiyo kukamua juice ni ulegevu.??
Komaa ulime ndio pumzi yako na ukipata pesa njoo usafishe macho ila muda huu ulitakiwa upumzike asubuhi uwahi shamba sasa.
Sasa mbona juice ya embe na chungwa husemi.?? Au nayo tuna meno legevuMeno legevu, midomo zege, mikono laini
Saa ngapi utamenya muwa yakhe
Utawezaje?
Sasa mbona juice ya embe na chungwa husemi.?? Au nayo tuna meno legevu
Sasa yule ni Wa Dar? Au Kolomije ni Dar.Amejazia hips kama vile.....
Sasa yule ni Wa Dar? Au Kolomije ni Dar.
Hadi sisi wazaramo?Dalisalama woote wakuja
Wakifika dalisalama tabia zinabadilika
Hadi sisi wazaramo?
Kweli kabisa. Mtu timamu hawezi kujisifu ustaarabu kama wa Nyani!Dar lahaaa
HahaKweli kabisa. Mtu timamu hawezi kujisifu ustaarabu kama wa Nyani!
Mnaweza kutafuna kweli??!!! Au ndo mwaenda saga juice nyumbaniSio juice ya Miwa tu. Hata Muwa wenyewe tunanunua ushamenywa!
Mnaweza kutafuna kweli??!!! Au ndo mwaenda saga juice nyumbani