Wanaume wa dar hii too much

Wanaume wa dar hii too much

Namjua kinaga ubaga,,,,

Hahahahahaaaa unatetea wa Dalisalama?

Basi ukija kizulamimba huku chigoma hutamkumbuka tena huyo mlegevu

Utapata huduma mubashara ya mla kande, mlenda na karanga.

Hutasahau maishani
 
Mkuu ukiambiwa unatazama kwa mapana yake

Maudhui ni ulegevu na ulaini wa wanaume wa Dalisalama kwa mambo mengi

Huyu mtaalam katumia ile kitu wataalam wa kishwahili wanasema Tamathali za semi

Mafumbo na tafsida..baini.... Takriri nk
Naombeni mfanye utafiti wa kitaalamu na wa kuridhisha kubaini ukweli juu ya hoja yenu.

Ila mkibaki kutumia mifano midogo midogo isiyokuwa na uhalisia hapo mnakuwa mnadanganya.

Kwenye huo utafiti ndio uangalie kwa upana jinsi unavyosema ili kupata majibu sahihi.

Pia mkumbeke kuwa asilimia kubwa ya hao wanaume wa Dar wametokea mikoani.

Naombeni mfanye utafiti wa kitaalamu na wa kuridhisha kubaini ukweli juu ya hoja yenu.

Ila mkibaki kutumia mifano midogo midogo isiyokuwa na uhalisia hapo mnakuwa mnadanganya.

Kwenye huo utafiti ndio uangalie kwa upana jinsi unavyosema ili kupata majibu sahihi.

Pia mkumbe kuwa asilimia kubwa ya hao wanaume wa Dar wametokea mikoani.

Mkuu wakifika dalisalama
wanakengeuka
Wanabadili lafudhi
Wanadili sura
Wanavaa kata k
Wanatembea kisharobaro
Wanasuka nywele
Wanavaa heleni
Wanavaa pin puwani
Wanakuwa mdebwedo
Hao ndo wanaume wa Dalisalama

Shiiida mwishowe wanapoteza kila kitu mpaka nguvu za kiume khaa
 
Ahsante kwa kuweka wazi chimbuko la hawa mnaowaita wanaume wa Dar.

Kwa hiyo inaonesha kuwa wanaume wa Mikoani hawana msimamo, mnabadilika kama kinyonga kulingana na mazingira.

Ebu anzeni kujilaumu kwanza kwa kukosa misimamo kabla hamjaanza kuwalaumu hawa waliotoka huko wakaja huku.

Ndio maana nimekuambia fanya utafiti uchambue wanaume wahamiaji na wazawa wa Dar halafu ndio utoe jibu lako.
 
Mkuu sisi tuliobaki huku ndo wenyewe....wamikowani

Tunawaskitieni ndugu zetu wa Dalisalama mnavotupa asili yenu....mnakuwa mdebwedo....

Sisi tuliosalia huku mikowani tuko fiti....

Mnasumbuliwa na watoto wenu (panya road)..wa Dalisalama shida sana, vitoto?!

Haivumiliki hata viazi vitamu mpaka mumwagie chills source mamweee
 
Hapa cancer ni kuwa ninyi mumekosa misimamo, kwa nini mubadilike mkienda sehemu fulani?

Kubadilika ni jambo zuri kulingana na mazingira lakini sio kwa sifa hizi ambazo hata ninyi mnaona hazifai.

Mimi nitaendela kuwalaumu ninyi kwa kutokuwa na misimamo. Najua hata wewe ukihamia huku utabadilika pia.
 
Hapana mkuu mimi niligoma kubadilika

Nimeishi ubungo

Sinza kwa mgabe

Kinondoni manyanya

Kigamboni...uwanja wa machava pale mitaa ya jeshini njia ya kulekea mji mwema

Nikaona hovyo kabisa nikarudi mikowani kulinda heshima ya mwafrika/mwanaume wa kweli, ugali wa mtama au dona

Viazi vitamu, mlenda, ngogwe, ukwaju, mfulu, ntalali, salasi, ubuyu, asali nk

Zaidi kulima kwa bidii ili ndugu zetu wa Dalisalama msiadhilike kwa njaa,......wine hataki kuagiza nafaka....mtakimbia familia ndugu zetu.
 
Nyie semeni wanaume wa dar walegevu ivoivo mi shakutana nae mmoja na amezaliwa na kukulia dar bwana hiyo shughuli yake SIITAKI,
Nimekukumbuka binti, ni mimi. Si ndio ulikimbia ukasahau bi**ni. Ila kwa sasa nimerudi mkoani
 
Hapana mkuu mimi niligoma kubadilika

Nimeishi ubungo

Sinza kwa mgabe

Kinondoni manyanya

Kigamboni...uwanja wa machava pale mitaa ya jeshini njia ya kulekea mji mwema

Nikaona hovyo kabisa nikarudi mikowani kulinda heshima ya mwafrika/mwanaume wa kweli, ugali wa mtama au dona

Viazi vitamu, mlenda, ngogwe, ukwaju, mfulu, ntalali, salasi, ubuyu, asali nk

Zaidi kulima kwa bidii ili ndugu zetu wa Dalisalama msiadhilike kwa njaa,......wine hataki kuagiza nafaka....mtakimbia familia ndugu zetu.
Sio wote wanaobadilika mkuu kama wewe ambavyo hukubadilika.

Msiwe mnasema hili jambo kwa ujumla ilihali ushahidi wa kutobadilika kwa baadhi mnao wenyewe.
 
Nyanya moja inapooza ndani ya tenga
 
Tunakula ugali wa matama

Maziwa mgando

Kisanvu na nswalu au sansa zilizungwa karanga

Hayo mafuta yenu ya korie hukohuko dalisalama
Huo mtama hausagwi?? Kweli wewe wa call me j
 
Mimba mujaze nyinyi!!!!!!....mpaka mnywe supu ya pweza na kuongezea vumbi congo

Thubutu, wanatokanazo mikowani kuwabambikia nyinyi wa Dalisalama msioweza kutia mimba.... Ili mlee

Ukipima DNA tofauti
Ndiyo mnavyojidanganya hivyo
 
Tatizo hiyo jack kuinuwa huwezi.....mpaka awepo wa mkowani ndo ashughulike

Mikono laini kama dada zetu, wanaume wa Dalisalama shiiida
Kila wa Dar anaweza kuinua hiyo jack hata mtoto wa primary aliyelelewa kinguvu. Sijui wenzetu mnamaanisha kuinua vipi au na kalio
 
Back
Top Bottom