Wanaume wa dar hii too much

Wanaume wa dar hii too much

Sio juice ya Miwa tu. Hata Muwa wenyewe tunanunua ushamenywa!

Mwanaume unamenyewa muwa hee mkuu khatari

Hapo bahari pateni japo supu ya pweza na mpigage mswaki kwa miswaki ya wamasai kuimarisha meno
 
Kweli kabisa. Mtu timamu hawezi kujisifu ustaarabu kama wa Nyani!

Yamekuwa haya tena

Unaweza kuwa mnyiramba wewe

Dalisalama sio kwenu hahahahaaa

Msahau kwao.......?
 
Mkuu ukifika huku
Ugali wa mtama hakuna ubwabwa, wali, biliani wala pilau.... Hakuna chips yai huku...fully asilia

Mziwa mgando, matembele, kisanvu, swalu, sansa viungo karanga sio korie

Mlenda kwa mbali na ngogwe....mwanamke hatarudi dalisama jinsi ndoa inavoimarika
Hapo kwenye nswalu ,nsasa,plus karanga lohhhh mie huku mdomo unameza mate tu wajameni......
 
Mkuuu wewe mjanja

Ukivitambuwa vitu hivi, wanaume wa Dalisalama kwisha habari yao na kusaka vumbi la congo na supu za pweza
 
Hiyo glass inazidi hako kakipande cha muwa wanachokula hao wa mikoani!! Na kwa taarifa yako, wanakamua Bila kumenya maganda!! Wa mikoani wanamenya!!!
 
Ni kweli kabisa wanaume wa Dar si tu wanakamuliwa juisi, bali hata wakitaka kwenda Morogoro wanapanda basi au gari binafsi, pia hata wakianzisha miradi ya kilimo wenye uwezo wanatumia matrekta. Nimeona pia hata gari ikipata pancha wanatumia jeki kuinua gari wakati wa kubadilisha tairi
We kuja Dar unapanda punda?

Kuinua gari ili ubadili tairi unatumia kalio?
 
Ndiyo maana dada zenu wanajazwa mimba dar kwa upopoyoyo kama huu wa kufungua thread za kijinga.
 
Ni kweli kabisa wanaume wa Dar si tu wanakamuliwa juisi, bali hata wakitaka kwenda Morogoro wanapanda basi au gari binafsi, pia hata wakianzisha miradi ya kilimo wenye uwezo wanatumia matrekta. Nimeona pia hata gari ikipata pancha wanatumia jeki kuinua gari wakati wa kubadilisha tairi
Hata chooni wanatumia maji,wa mkoani wanachambia makaratasi na majani.Wa dar wananawa Kabla ya kula huku wa mkoani wanakula bila kunawa.
 
3447bdcb328404052b80a62f23c5250a.jpg
61cc33a4ea273daa8ca0a72edd264c23.jpg
Wanaume wa mikoani mnajisifu kula Muwa tena pande refu hivyo.
 
Ni kweli kabisa wanaume wa Dar si tu wanakamuliwa juisi, bali hata wakitaka kwenda Morogoro wanapanda basi au gari binafsi, pia hata wakianzisha miradi ya kilimo wenye uwezo wanatumia matrekta. Nimeona pia hata gari ikipata pancha wanatumia jeki kuinua gari wakati wa kubadilisha tairi
Hii post nimeanza kuipita muda mrefu sikuielewa.

Shukrani mkuu kwa post nzuri
 
Ni kweli kabisa wanaume wa Dar si tu wanakamuliwa juisi, bali hata wakitaka kwenda Morogoro wanapanda basi au gari binafsi, pia hata wakianzisha miradi ya kilimo wenye uwezo wanatumia matrekta. Nimeona pia hata gari ikipata pancha wanatumia jeki kuinua gari wakati wa kubadilisha tairi
wanaum wa dar bhn
 
Hata chooni wanatumia maji,wa mkoani wanachambia makaratasi na majani.Wa dar wananawa Kabla ya kula huku wa mkoani wanakula bila kunawa.

Hahahahahaaaa kipundupindu hakiishi dalisalama

Mwananyamala, magomeni, kinondoni

Wanaume wadaa mjitathimini....sio sifa kukumbatia uchafu
 
Back
Top Bottom