Wanaume wa dar hii too much

Sio juice ya Miwa tu. Hata Muwa wenyewe tunanunua ushamenywa!

Mwanaume unamenyewa muwa hee mkuu khatari

Hapo bahari pateni japo supu ya pweza na mpigage mswaki kwa miswaki ya wamasai kuimarisha meno
 
Kweli kabisa. Mtu timamu hawezi kujisifu ustaarabu kama wa Nyani!

Yamekuwa haya tena

Unaweza kuwa mnyiramba wewe

Dalisalama sio kwenu hahahahaaa

Msahau kwao.......?
 
Hapo kwenye nswalu ,nsasa,plus karanga lohhhh mie huku mdomo unameza mate tu wajameni......
 
Hapo kwenye nswalu ,nsasa,plus karanga lohhhh mie huku mdomo unameza mate tu wajameni......

Mkuuu wewe mjanja

Ukivitambuwa vitu hivi, wanaume wa Dalisalama kwisha habari yao na kusaka vumbi la congo na supu za pweza
 
Hiyo glass inazidi hako kakipande cha muwa wanachokula hao wa mikoani!! Na kwa taarifa yako, wanakamua Bila kumenya maganda!! Wa mikoani wanamenya!!!
 
We kuja Dar unapanda punda?

Kuinua gari ili ubadili tairi unatumia kalio?
 
Ndiyo maana dada zenu wanajazwa mimba dar kwa upopoyoyo kama huu wa kufungua thread za kijinga.
 
Hata chooni wanatumia maji,wa mkoani wanachambia makaratasi na majani.Wa dar wananawa Kabla ya kula huku wa mkoani wanakula bila kunawa.
 
Hii post nimeanza kuipita muda mrefu sikuielewa.

Shukrani mkuu kwa post nzuri
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] wanaum wa dar bhn
 
Hata chooni wanatumia maji,wa mkoani wanachambia makaratasi na majani.Wa dar wananawa Kabla ya kula huku wa mkoani wanakula bila kunawa.

Hahahahahaaaa kipundupindu hakiishi dalisalama

Mwananyamala, magomeni, kinondoni

Wanaume wadaa mjitathimini....sio sifa kukumbatia uchafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…