Hatukuumbiwa this much stimilation

Hatukuumbiwa this much stimilation

Elevenn

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
9,775
Reaction score
19,446
Sasa hivi yaani hakuna raha kabisa

Maisha yamekuwa fast paced..

Dopamine imekuwa cheap kiasi kwamba mambo yalotupa furaha zamani leo tunayaona ya kawaida

We used to play game with floopy disks, leo hata smartphone ina games tena 3D kabisa
edf8c541ad95058cf21a182fcc06d616.jpg

Music was sold on cassette leo una download kwa sekunde tu una sikiliza..

Alaf hata mziki wenyewe hau enjoy, bado hapo hapo message zinaingia, magroup ya Whatsapp, telegram, mara imepigiwa video call

Jaman this is too much, the things we consume on a daily basis are making us dumb.

Tumezidiwa na mashine kwa sababu hatujui madhara ya kuwa distracted, una loose focus, kumbukumbu inakuwa tinkered.

Mimi Nahisi kabisa tunaelekea kuwa nihilistic, kila kitu kitafanya mashine na sisi hatua kuwa na thamani because tumeruhusu autonomy yetu iwe replaced by automation

We were not meant for this.
 
Sasa hivi yaani hakuna raha kabisa

Maisha yamekuwa fast paced..

Dopamine imekuwa cheap kiasi kwamba mambo yalotupa furaha zamani leo tunayaona ya kawaida

We used to play game with floopy disks, leo hata smartphone ina games tena 3D kabisa
View attachment 3618629

Kabisa vitu vingi vimepoteza thamani kabisa hata kwa wenye ukwasi hawana raha. Vyakula havina ladha, miziki inaboa kila kitu kimekuwa kawaida tu. Tunahitaji kujitenga na malimwengu ili kujenga upya hisia zetu watu wengi wamekuwa ma-hedonists
 
Hakika (mahedinists) hawana kosa maana hamna Radha kwenye vitu vingii na hakuna way out, maisha ya nahitaji u adapt pia
 
Nikiulizwa kipindi gani niliinjoy maisha, ningesema kuanzi mwaka 1995 (miaka 7) mpka mwaka 2003 basi!
Since then ni stressful tu 😁
Mimi naona peak ya good life iliisha 2013..
Baada ya hapo smartphones zikatawala sana hasa in 3rd world countries.

Nakumbuka nilikuwa na Nokia flan ka black berry I loved it ilikuwa more mechanical unafanya kazi kweli, hata kuandika email tu..

Sio leo una mwambia chat gtp kila issue si mwanzo wa kuwa zozo tu huo😆
 
sema ile unapakua mziki waptrick inafika 99.5% alafu ina fail ilikuwa na hisia flani nzuri sana huzuni imejichanganya na furaha flani kwa mbali (huku unatukana kimtindo)

mzee wangu alifanikiwa kuwa na kamera miaka ya 80 hadi 2000 alikua akitupiga picha mara kwa mara

leo picha zile zimekuwa kumbukumbu nzuri sana, watoto wetu wakioneshwa wanashangaa sana

majuzi nimeona mtoto wa kaka mkubwa alipost status picha ya shangazi yake ya zaman sana akimtakia heri ya siku ya kuzaliwa nikacheka sana
 
sema ile unapakua mziki waptrick inafika 99.5% alafu ina fail ilikuwa na hisia flani nzuri sana huzuni imejichanganya na furaha flani kwa mbali (huku unatukana kimtindo)
Man umenipa nostalgia nzuri sana😂...
Yani kudownload mb3 ilikua kasheshe kusubiria ile anticipation ya kuisikiliza inakuwepo alaf inafika mwisho kabisa kukaa ina stuck, broo una curse kimoyo moyo wasisikie..
 
leo picha zile zimekuwa kumbukumbu nzuri sana, watoto wetu wakioneshwa wanashangaa sana
Hata jinsi zamani kulikuwa na zile ulbum za kuweka picha maybe za harusi tu, au kipaimara, au kumaliza shule.. Yaani hata jinsi unavyo Anza kuzi angalia unakuwa focused kabisa sio kama leo, una swipe within seconds... Ile intimacy ya physical object haipo tena siku hizi
 
Moja ya namna za kupima strength za mwanadamu wa sasa ni uwezo wake wa kuji control katika matumizi ya vifaa vya kielektroniki.
Mtu ambaye 24/7 yupo kwenye simu/computer ni bomu linalotarajia kujilipua muda wowote.
Sasa hivi yaani hakuna raha kabisa

Maisha yamekuwa fast paced..

Dopamine imekuwa cheap kiasi kwamba mambo yalotupa furaha zamani leo tunayaona ya kawaida

We used to play game with floopy disks, leo hata smartphone ina games tena 3D kabisa
View attachment 3618629

Music was sold on cassette leo una download kwa sekunde tu una sikiliza..

Alaf hata mziki wenyewe hau enjoy, bado hapo hapo message zinaingia, magroup ya Whatsapp, telegram, mara imepigiwa video call

Jaman this is too much, the things we consume on a daily basis are making us dumb.

Tumezidiwa na mashine kwa sababu hatujui madhara ya kuwa distracted, una loose focus, kumbukumbu inakuwa tinkered.

Mimi Nahisi kabisa tunaelekea kuwa nihilistic, kila kitu kitafanya mashine na sisi hatua kuwa na thamani because tumeruhusu autonomy yetu iwe replaced by automation

We were not meant for this.
Namna
 
Back
Top Bottom