Wanaume wa Dar es Salaam hawajitambui

Wanaume wa Dar es Salaam hawajitambui

Leo kaona mkanda mbaya ila kipindi anamgea namba hakuona mkanda kuwa mbaya.

Nini kimebadilika Hadi akaona Mkanda wa mwanetu mbaya mara viatu kaam satin wa kukausha.
Au ndo Msukule recognizes Msukule.
Kwako NYPD.
#Ripoti iweke hapa hapa😂😂
Labda alikuja kupata Mwanaume mwingine mwenye mkanda mzuri zaidi.

😀
 
Wapo, tena wapo wengi tu kwa sasa. Mbunye zinauzwa, baadhi yenu mpo mnasubiria tu. Kilichopo ni kuwaasa wanaume waache tamaa za fisi coz wauzaji wapo so desperate.
Price tag Mzee kila mtu ana Bei yake kitumbua kile kile
 
Unakutana na mwanaume wa dar njiani. Upo zako hai hai kufanya mambo yako ya maana.anakusimamisha dada salamu ehee naomba dakika 10 tukae mahali tuongee.mind you ana no yako na hata unapoishi anapajua.
Hapo ukimzoom mkanda aliovaa na viatu na saa unajua tu huyu ana deni songesha na mpawa.
Niwashauri wanaume wa dar maana mkoani ni wastaarabu wanaomba appointment kabisa siku flani dada naweza kupata muda niongee na wewe?? Au lini utanipa muda.
Nyie wa dar unakutana na mtu umsimamishe unajua mtu ana shughuli gani?? Kwanza kama anakoenda kachelewa je??
Hizi dharau ndio maana nlihama Dar😎😎
 
Na viatu vya maana mkuu.mbona mchina katoa design nzuri tu 35 elfu hadi 50.
Mtu anavaa kiatu cha mtumba vha mzungu cha elfu 7 eti ni ngozi.kiatu cha mwaka 1950
Aisee 😂😂😂😂🤣🤣🤣🙌
 
Back
Top Bottom