Wanaume wa Dar es Salaam hawajitambui

Wanaume wa Dar es Salaam hawajitambui

Kuna wanaume ni wa kweli direct, unakuta kasha vurugwa hivyo akikutana na mwanamke anajilipua kabisa hataki kuzungushwa mwaka , maana wadada mnatuweka benchi alafu kitumbua unampa mtu wa hovyo kabisa...

Jamaa kaamua kurisk . Ungempa hata namba kistaarabu alafu uwe unampima kimnya kimnya
nilimpa kistaarabu namba yangu na hata alipokuja mbali sana nilimwambia acha yaani you are too forward, unaniambia unanipenda unataka nikujibu nini na si feel chochote kwako ndio hivyo nafika home eti umefika mke wangu looooh nikablock maana kunisikiliza hakutaka kabisa
 
Wafukua Mitaro hao,wengi wanatabia za kipuuzi ,kama SI wafiraji basi ni mapunga
 
Yaani mtu ana namba yako na bado anakutana na wewe njiani hajui unaenda wapi anaomba mkae sehemu muongee muda huo huo???

Huyo atakuwa alishikwa na nyege vibaya basi yupo njiani anaangaza angaza aone nani ataokoa jahazi.
dah! Man umenivunja mbavu dah
 
Unakutana na mwanaume wa Dar njiani. Upo zako hai hai kufanya mambo yako ya maana, anakusimamisha dada salamu ehee naomba dakika 10 tukae mahali tuongee.

Mind you ana no yako na hata unapoishi anapajua. Hapo ukimzoom mkanda aliovaa na viatu na saa unajua tu huyu ana deni songesha na mpawa.

Niwashauri wanaume wa Dar maana mkoani ni wastaarabu wanaomba appointment kabisa siku fulani dada naweza kupata muda niongee na wewe? Au lini utanipa muda.

Nyie wa Dar unakutana na mtu umsimamishe unajua mtu ana shughuli gani? Kwanza kama anakoenda kachelewa je?
[emoji23] oya sister embu jishikilie utuache
 
Yaani mtu ana namba yako na bado anakutana na wewe njiani hajui unaenda wapi anaomba mkae sehemu muongee muda huo huo???

Huyo atakuwa alishikwa na nyege vibaya basi yupo njiani anaangaza angaza aone nani ataokoa jahazi.
nyezgez za ghafla tu..
 
nilimpa kistaarabu namba yangu na hata alipokuja mbali sana nilimwambia acha yaani you are too forward, unaniambia unanipenda unataka nikujibu nini na si feel chochote kwako ndio hivyo nafika home eti umefika mke wangu looooh nikablock maana kunisikiliza hakutaka kabisa
ungemuonea huruma kwanza hata mdanganya tu mkuu
 
Back
Top Bottom