Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,717
- 62,667
Sawa nimeona😂Kajibu,post #33
😀 😀
Sawa nimeona😂Kajibu,post #33
😀 😀
Jiji kalikimbilia kwa pupaunajua watu wa mikoa hasa dada zetu huu mjin mnaukurupukia sana wengine wao hajastarabka umetoka porini huko unakuja na mbwembwe
😂 😂 boxer ya buku 12 ya kazi gani wakati mwanaume anaweza dunda town bila chupi na akaenjoy siku yake.Mkanda uvae wa masai buku 3 na utanunua boxer ya elfu 12 kweli??
Huenda wewe ni rebound hakua na malengo ya kutoka nawe mkeka wake umechanika so akaamua asirudi nyumbani kinyonge.Yaani mtu ana namba yako na bado anakutana na wewe njiani hajui unaenda wapi anaomba mkae sehemu muongee muda huo huo???
Huyo atakuwa alishikwa na nyege vibaya basi yupo njiani anaangaza angaza aone nani ataokoa jahazi.
Embu sikia kama ulitoa mzigo ukakuta kavaa boksa ya 1600 sio wote dar tunavaa hivyo kwaza ulitembea na wanaume wangap.wa dar? Kama zaidi ya kumi basi uluupiga mwingiMkanda uvae wa masai buku 3 na utanunua boxer ya elfu 12 kweli??
Mimi mkanda nanunua kwa @mr kadetiNimeshaona fursa hapa,, mje mnunue mikanda nauza The Icebreaker Mwachiluwi Kambi ya Fisi Pendaelli Ambivert88 😌😌,, bei sawa na bure😃
Unazingatia mavazi ?🤣🤣🤣🤣🤣
Sawa,, vipi viatu na saa unavyo😌😌Mimi mkanda nanunua kwa @mr kadeti
Usiwe na wasiwasi mavazi mwenyewe nauza,, ntakupa tu bure😃😃Unazingatia mavazi ?
ili nifahamu kama nitatolewa nje pia😅
Ndio wewe huyo kijana?🤣Ahhahahah sema hiv wanaume wachanika
yaani umekutana na bodaboda mmoja basi unahukumu wote. au nawe ni walewale tu chuma chakavuUnakutana na mwanaume wa dar njiani. Upo zako hai hai kufanya mambo yako ya maana.anakusimamisha dada salamu ehee naomba dakika 10 tukae mahali tuongee.mind you ana no yako na hata unapoishi anapajua.
Hapo ukimzoom mkanda aliovaa na viatu na saa unajua tu huyu ana deni songesha na mpawa.
Niwashauri wanaume wa dar maana mkoani ni wastaarabu wanaomba appointment kabisa siku flani dada naweza kupata muda niongee na wewe?? Au lini utanipa muda.
Nyie wa dar unakutana na mtu umsimamishe unajua mtu ana shughuli gani?? Kwanza kama anakoenda kachelewa je??
Kwahiyo nimepata nafasi ?Usiwe na wasiwasi mavazi mwenyewe nauza,, ntakupa tu bure😃😃
Sawa kabisa,acha kwanza ninunue mkanda mzuri kisha ndio nimtafute Miss NatafutaNimeshaona fursa hapa,, mje mnunue mikanda nauza The Icebreaker Mwachiluwi Kambi ya Fisi Pendaelli Ambivert88 😌😌,, bei sawa na bure😃
Eti zimejaa tayari,, sikuona😃😃Kwahiyo nimepata nafasi ?
Nipe namba yako ya simu nikutafute kibiashara maana nimeona we sio mpenzi wa pm so hatuwezi kuwasiliana hapa jfNimeshaona fursa hapa,, mje mnunue mikanda nauza The Icebreaker Mwachiluwi Kambi ya Fisi Pendaelli Ambivert88 😌😌,, bei sawa na bure😃
Na saa na viatu,,, hawezi kuchomoa kabisa 😂😂😂Sawa kabisa,acha kwanza ninunue mkanda mzuri kisha ndio nimtafute Miss Natafuta
Kua na amani mzigo unaletewa hadi mlangoni 😃Nipe namba yako ya simu nikutafute kibiashara maana nimeona we sio mpenzi wa pm so hatuwezi kuwasiliana hapa jf