Wanaume wa Dar es Salaam hawajitambui

Wanaume wa Dar es Salaam hawajitambui

Labda jamaa wakati anapewa namba alikua njema,ila siku hizi kapigika na hatakiwi tena.


😀 😀
Leo kaona mkanda mbaya ila kipindi anamgea namba hakuona mkanda kuwa mbaya.

Nini kimebadilika Hadi akaona Mkanda wa mwanetu mbaya mara viatu kaam satin wa kukausha.
Au ndo Msukule recognizes Msukule.
Kwako NYPD.
#Ripoti iweke hapa hapa😂😂
 
Back
Top Bottom