Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,866
- Thread starter
- #141
Kwani nimesema kanitongoza??Sasa malalamiko ya nini km mwanaume unae?
Kwani nimesema kanitongoza??Sasa malalamiko ya nini km mwanaume unae?
Ukija dukani kwangu umepata kila kitu ..karibu sana😊🤗Usisahau na hizo boksa za elfu kumi na mbili.
Wewe tu sema unataka wa aina gani😊🤗Mkaanda upi unataka uniuzie?
Usikute hata condom hana[emoji12][emoji12][emoji12][emoji41]Unakutana na mwanaume wa dar njiani. Upo zako hai hai kufanya mambo yako ya maana.anakusimamisha dada salamu ehee naomba dakika 10 tukae mahali tuongee.mind you ana no yako na hata unapoishi anapajua.
Hapo ukimzoom mkanda aliovaa na viatu na saa unajua tu huyu ana deni songesha na mpawa.
Niwashauri wanaume wa dar maana mkoani ni wastaarabu wanaomba appointment kabisa siku flani dada naweza kupata muda niongee na wewe?? Au lini utanipa muda.
Nyie wa dar unakutana na mtu umsimamishe unajua mtu ana shughuli gani?? Kwanza kama anakoenda kachelewa je??
Asubuhi chapati moja na pepsi baridiNaunga mkono hoja mkuu....[emoji4]
Unakutana na mwanaume wa Dar njiani. Upo zako hai hai kufanya mambo yako ya maana, anakusimamisha dada salamu ehee naomba dakika 10 tukae mahali tuongee.
Mind you ana no yako na hata unapoishi anapajua. Hapo ukimzoom mkanda aliovaa na viatu na saa unajua tu huyu ana deni songesha na mpawa.
Niwashauri wanaume wa Dar maana mkoani ni wastaarabu wanaomba appointment kabisa siku flani dada naweza kupata muda niongee na wewe? Au lini utanipa muda.
Nyie wa Dar unakutana na mtu umsimamishe unajua mtu ana shughuli gani? Kwanza kama anakoenda kachelewa je?
Unaanza kuleta uchokozi nakuona[emoji41][emoji41][emoji41]Yaani mtu ana namba yako na bado anakutana na wewe njiani hajui unaenda wapi anaomba mkae sehemu muongee muda huo huo???
Huyo atakuwa alishikwa na nyege vibaya basi yupo njiani anaangaza angaza aone nani ataokoa jahazi.
Unakutana na mwanaume wa Dar njiani. Upo zako hai hai kufanya mambo yako ya maana, anakusimamisha dada salamu ehee naomba dakika 10 tukae mahali tuongee.
Mind you ana no yako na hata unapoishi anapajua. Hapo ukimzoom mkanda aliovaa na viatu na saa unajua tu huyu ana deni songesha na mpawa.
Niwashauri wanaume wa Dar maana mkoani ni wastaarabu wanaomba appointment kabisa siku flani dada naweza kupata muda niongee na wewe? Au lini utanipa muda.
Nyie wa Dar unakutana na mtu umsimamishe unajua mtu ana shughuli gani? Kwanza kama anakoenda kachelewa je?
Hatukusomi, funguka zaidi.Unakutana na mwanaume wa Dar njiani. Upo zako hai hai kufanya mambo yako ya maana, anakusimamisha dada salamu ehee naomba dakika 10 tukae mahali tuongee.
Mind you ana no yako na hata unapoishi anapajua. Hapo ukimzoom mkanda aliovaa na viatu na saa unajua tu huyu ana deni songesha na mpawa.
Niwashauri wanaume wa Dar maana mkoani ni wastaarabu wanaomba appointment kabisa siku flani dada naweza kupata muda niongee na wewe? Au lini utanipa muda.
Nyie wa Dar unakutana na mtu umsimamishe unajua mtu ana shughuli gani? Kwanza kama anakoenda kachelewa je?
Condom ya nini ? Mwanamke anaetumia condom hajitambuiUsikute hata condom hana[emoji12][emoji12][emoji12][emoji41]
Dah msameheni Leo tu hatorudia[emoji16][emoji16][emoji16]Sasa si ndo type zako vumilia mkuu
Na saa mkuu hata kama haona brand ikae tu na mvutoUsisahau na hizo boksa za elfu kumi na mbili.
Sio huyu tu ndo tabia zenu..mtu huna appointment nae unataka mazungumzoUsimamishwe na Mmoja Au Wawili halafu Tujumuishwe wote kwenye Mambo yenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanaume nilie nae humfikii hata robo mkuu.acha dharau .kwanza mi notongozwe saa hizi ili iwejeWewe kwa type yako huwa unatongozwa na mabodaboda!
Jipandishe thamani ukutane na washua wa Dar wewe kichakoro!
Hadi na kiatu cha 35 mpaka 50?Ukija dukani kwangu umepata kila kitu ..karibu sana[emoji4][emoji847]
Aliyekuambia kuwa wanaume wasiovaa chupi hawana hela alikudanganya.Hela ya chupi yako tu huna mimi utanisaidia nini sasa?