Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,127
- 110,900
Ebu nikumbushe, kwani kahama ipo daslam sehem gani kwani...🤔Nilitaka kushangaa mtu wa kahama bila kuchangia hapa
Ebu nikumbushe, kwani kahama ipo daslam sehem gani kwani...🤔Nilitaka kushangaa mtu wa kahama bila kuchangia hapa
Kua na amani😃Au hutuhitaji wazee?
Hapana ninyi si ndo mnaomgoza kwa kutuponda sanaEbu nikumbushe, kwani kahama ipo daslam sehem gani kwani...🤔
Na viatu usisahau .ukipatia hivo hakii mwanamke hata awe na haraka vipi anakusikilizaKumbe mkanda una umuhimu kiasi hicho aisee! yani unaweza kukosa demu kisa mkanda!
😀 😀
Huku daslam hatuna maneno mengi mkuu...🤣Hapana ninyi si ndo mnaomgoza kwa kutuponda sana
USHAURI: punguza ama acha kabisa kukaa karibu vijana wa betting... wavaa vibegi mgongoniUnakutana na mwanaume wa dar njiani. Upo zako hai hai kufanya mambo yako ya maana.anakusimamisha dada salamu ehee naomba dakika 10 tukae mahali tuongee.mind you ana no yako na hata unapoishi anapajua.
Hapo ukimzoom mkanda aliovaa na viatu na saa unajua tu huyu ana deni songesha na mpawa.
Niwashauri wanaume wa dar maana mkoani ni wastaarabu wanaomba appointment kabisa siku flani dada naweza kupata muda niongee na wewe?? Au lini utanipa muda.
Nyie wa dar unakutana na mtu umsimamishe unajua mtu ana shughuli gani?? Kwanza kama anakoenda kachelewa je??
Asante bibieKua na amani😃
Ndo hapo sasa,,, waje tu wanunue ipo ya kila aina na kila bei washindwe wao tu😂😂Mkuu wauzie kabisa.hivi mwanaume unashindwaje kuvaa mkanda wa maana.mkanda umebabuka babuka kama nyoka mzee.kwani mkanda sh ngapi.bia mnakunywa kila siku
upo?Ndo hapo sasa,,, waje tu wanunue ipo ya kila aina na kila bei washindwe wao tu😂😂
Wambie muda wote wanaona mbususu za bure bureUnakutana na mwanaume wa dar njiani. Upo zako hai hai kufanya mambo yako ya maana.anakusimamisha dada salamu ehee naomba dakika 10 tukae mahali tuongee.mind you ana no yako na hata unapoishi anapajua.
Hapo ukimzoom mkanda aliovaa na viatu na saa unajua tu huyu ana deni songesha na mpawa.
Niwashauri wanaume wa dar maana mkoani ni wastaarabu wanaomba appointment kabisa siku flani dada naweza kupata muda niongee na wewe?? Au lini utanipa muda.
Nyie wa dar unakutana na mtu umsimamishe unajua mtu ana shughuli gani?? Kwanza kama anakoenda kachelewa je??
Ushakuwa mwanaume wa dar sawaHuku daslam hatuna maneno mengi mkuu...🤣
Na viatu vya maana mkuu.mbona mchina katoa design nzuri tu 35 elfu hadi 50.Ndo hapo sasa,,, waje tu wanunue ipo ya kila aina na kila bei washindwe wao tu[emoji23][emoji23]
Nunua mkanda wewe.mbona bia mnakunywa kila sikuHii pis miyeyusho mbonge la call Yani mkanda ndo kigezo mwamba kutoswa duuu
Mkonda uwe kama kichwa chenye mapunye lazima mtu uwe smartiHii pis miyeyusho mbonge la call Yani mkanda ndo kigezo mwamba kutoswa duuu
Wala sio kijana kiivo mkuu.USHAURI: punguza ama acha kabisa kukaa karibu vijana wa betting... wavaa vibegi mgongoni