Wanaume wa Dar es Salaam hawajitambui

Wanaume wa Dar es Salaam hawajitambui

Aliyekuambia kuwa wanaume wasiovaa chupi hawana hela alikudanganya.

Kuna wananaume wanavaa chupi za bei mbaya ila hawana hela, je hao ndio unawashobokeaga ?
Tushangae wote ndugu yangu, wao kwao kipaombele ni taswira na mwonekano tu
 
Bei baba Bei nyamachoma ya tandale kwa tumbo sio sawa na nyamachoma ya KFC au pale MCity, Miss Natafuta amepigwa na vumbi uso umepauka kakutana na mtu anaefanana nae kamuelewa kwamba huyu Mimi nammudu analeta malalamiko na mikogo kibao
Ngoja kila mtu afaidi kwa namna yake mkuu.
 
Unakutana na mwanaume wa Dar njiani. Upo zako hai hai kufanya mambo yako ya maana, anakusimamisha dada salamu ehee naomba dakika 10 tukae mahali tuongee.

Mind you ana no yako na hata unapoishi anapajua. Hapo ukimzoom mkanda aliovaa na viatu na saa unajua tu huyu ana deni songesha na mpawa.

Niwashauri wanaume wa Dar maana mkoani ni wastaarabu wanaomba appointment kabisa siku flani dada naweza kupata muda niongee na wewe? Au lini utanipa muda.

Nyie wa Dar unakutana na mtu umsimamishe unajua mtu ana shughuli gani? Kwanza kama anakoenda kachelewa je?
Mtuuwe basi..
Mubaki na wa mikoani
🤓🤓🤓🙌🙌🙌🙌🙌
Tumechoka yaani kila siku jipya khaaa
 
Back
Top Bottom