Wanaume wa Dar es Salaam hawajitambui

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,559
45,879
Unakutana na mwanaume wa Dar njiani. Upo zako hai hai kufanya mambo yako ya maana, anakusimamisha dada salamu ehee naomba dakika 10 tukae mahali tuongee.

Mind you ana no yako na hata unapoishi anapajua. Hapo ukimzoom mkanda aliovaa na viatu na saa unajua tu huyu ana deni songesha na mpawa.

Niwashauri wanaume wa Dar maana mkoani ni wastaarabu wanaomba appointment kabisa siku fulani dada naweza kupata muda niongee na wewe? Au lini utanipa muda.

Nyie wa Dar unakutana na mtu umsimamishe unajua mtu ana shughuli gani? Kwanza kama anakoenda kachelewa je?
 
Back
Top Bottom