Wanaume wa Dar es Salaam hawajitambui

Wanaume wa Dar es Salaam hawajitambui

Mkoani hawana hulika ya appointment. Ni kuvizia anatoka kisimani au shambani au anaenda kusaga. Ikiwezekana unafuata huko huko anapochunga ng'ombe.

Kwa hiyo hao wanakuomba dakika kumi ni wanaume wa mikoani waliokuja kutafuta maisha mjini. Wamekuona unafanana nao.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Amani Itawale...
 
Hii pisi sijui imefkia maeneo gani hapa jijini🤣
 
Back
Top Bottom