Wanaume wa Dar es Salaam hawajitambui

Wanaume wa Dar es Salaam hawajitambui

Unakutana na mwanaume wa dar njiani. Upo zako hai hai kufanya mambo yako ya maana.anakusimamisha dada salamu ehee naomba dakika 10 tukae mahali tuongee.mind you ana no yako na hata unapoishi anapajua.
Hapo ukimzoom mkanda aliovaa na viatu na saa unajua tu huyu ana deni songesha na mpawa.
Niwashauri wanaume wa dar maana mkoani ni wastaarabu wanaomba appointment kabisa siku flani dada naweza kupata muda niongee na wewe?? Au lini utanipa muda.
Nyie wa dar unakutana na mtu umsimamishe unajua mtu ana shughuli gani?? Kwanza kama anakoenda kachelewa je??
Ukisema wanaume wa dar unakosea hilo ni gume gume lako na namba ulisha mpa ukitu jumuisha wote unakosea kwanza nikiwa na namba zako sina mda wa kuomba appointment ....... kwanza tutake radhi sikuhizi hatuombi namba za madem kama nina haraka nampa bisness cadi ....... case closed
 
Unakutana na mwanaume wa dar njiani. Upo zako hai hai kufanya mambo yako ya maana.anakusimamisha dada salamu ehee naomba dakika 10 tukae mahali tuongee.mind you ana no yako na hata unapoishi anapajua.
Hapo ukimzoom mkanda aliovaa na viatu na saa unajua tu huyu ana deni songesha na mpawa.
Niwashauri wanaume wa dar maana mkoani ni wastaarabu wanaomba appointment kabisa siku flani dada naweza kupata muda niongee na wewe?? Au lini utanipa muda.
Nyie wa dar unakutana na mtu umsimamishe unajua mtu ana shughuli gani?? Kwanza kama anakoenda kachelewa je??
Ahhahahah sema hiv wanaume wachanika
 
Hao ni mabodaboda wenu
 
Nimenunua mkanda mpya na viatu

Naweza kupata dk 10 tuongee mama?
 
Back
Top Bottom