Wanaume wa Dar es Salaam hawajitambui

Wanaume wa Dar es Salaam hawajitambui

Unakutana na mwanaume wa Dar njiani. Upo zako hai hai kufanya mambo yako ya maana, anakusimamisha dada salamu ehee naomba dakika 10 tukae mahali tuongee.

Mind you ana no yako na hata unapoishi anapajua. Hapo ukimzoom mkanda aliovaa na viatu na saa unajua tu huyu ana deni songesha na mpawa.

Niwashauri wanaume wa Dar maana mkoani ni wastaarabu wanaomba appointment kabisa siku flani dada naweza kupata muda niongee na wewe? Au lini utanipa muda.

Nyie wa Dar unakutana na mtu umsimamishe unajua mtu ana shughuli gani? Kwanza kama anakoenda kachelewa je?
Ungekuwa na shughuli we mwenyewe usingekuwa huku
 
Namba umempa mwenyewe,kakusimamisha umesimama,na kwa akili yako ukamsikiliza for the whole 10 minutes,Baada ya hapo ukaona jibu ni uje umchambe mwalimu wa watu humu jamvini,Ukapimwe Akili MKuu.
 
Namba umempa mwenyewe,kakusimamisha umesimama,na kwa akili yako ukamsikiliza for the whole 10 minutes,Baada ya hapo ukaona jibu ni uje umchambe mwalimu wa watu humu jamvini,Ukapimwe Akili MKuu.
Ivi alikuwa ticha kumbe [emoji23][emoji23][emoji23], alivyosema tu kuhusu mkanda na kiatu hata mimi nilijua ni mwalimu tena walivyoongezea chupi nikakonfem
 
Imenikumbusha juzi nimekaa mahali mawasiliano pale akaja huyo mkaka pale nimekaa tumesalimiana vizuri ikaishia hapo kwangu.Akaanza kuniongelesha na mimi nikawa namjibu politely ila sikuwa interested na kutongoza kwake na nikamwambia kabisa hapana akawa kama amekubali akaanzisha mada nyingine tukawa tunaongea vizuri tu yaani angeweza kuwa rafiki haswa, nikasema kumbe ana kitu huyu nilijudge vibaya maana ananyoosha na kuchangia mambo vizuri mpaka nikampa namba hapo hapo akarudisha kutongoza upyaa mara nataka kukuoa,nakupenda mimi namuangalia tu yaani haya yote ni within 30 minutes of meeting me nikaamka nikawa naondoka maana alianza kuharibu mambo tena.Nimefika home anapiga eti umefika mke wangu[emoji849][emoji849]nikasema tu heee nikakata na kublock namba juu
UOlewi tena tunalisubiri bandiko lako humu ukifika 40 something 'natafuta mume ambae anapumua tu......' alafu mbaya zaidi anakuja yuleyule ulimchenga stendi anakuja tena kukuimbisha.. MUNGU FUNDI
 
Mkanda na saa vya kwangu ni bei kubwa ila nilinunuliwa na dada siku ya harusi yake kama kaka bibi harusi , kumbe naweza nasia warembo
emoji2957.png
emoji2957.png
emoji2957.png
Wenye akili fupi km mleta mada unaweza ukawanasa alafu ukamla kavu kavu siku hio hio sababu hatumii condom Ila usisahau kashasema hana K-MA kwa hio utajua mwenyewe jiongeze utakula nini
Hayo ni mawazo yako .siwezi kukupinga kwenye akili zako.👉kwanza sina k
 
Wenye akili fupi km mleta mada unaweza ukawanasa alafu ukamla kavu kavu siku hio hio sababu hatumii condom Ila usisahau kashasema hana K-MA kwa hio utajua mwenyewe jiongeze utakula nini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom