Wanaume wa Dar es Salaam hawajitambui

Wanaume wa Dar es Salaam hawajitambui

Tatizo wanawake wana tamaa sana sahivi.. amini na kuambia katika hao mnao waona wapo rafu kuna wanaume huko wanajielewa na wanajua wanachokifanya
Kwa upande wangu mimi yule mtu hakuwa rafu ila sikuona chemistry yoyote kati yetu ila kitendo cha mtu mmekutana mara ya kwanza tena hata saa moja alijapita anaanza kusema nakupenda sijui nataka kukuoa mara mke wangu huu ni uongo wa wazi kabisa
 
Sasa km kakupenda ulitaka akwambie nini we wa wapi? Au ulitaka akwambie umpe lipa namba?
 
Kwa upande wangu mimi yule mtu hakuwa rafu ila sikuona chemistry yoyote kati yetu ila kitendo cha mtu mmekutana mara ya kwanza tena hata saa moja alijapita anaanza kusema nakupenda sijui nataka kukuoa mara mke wangu huu ni uongo wa wazi kabisa
Uongo wote wa mwanaume lengo akupake jasho
 
Unakutana na mwanaume wa Dar njiani. Upo zako hai hai kufanya mambo yako ya maana, anakusimamisha dada salamu ehee naomba dakika 10 tukae mahali tuongee.

Mind you ana no yako na hata unapoishi anapajua. Hapo ukimzoom mkanda aliovaa na viatu na saa unajua tu huyu ana deni songesha na mpawa.

Niwashauri wanaume wa Dar maana mkoani ni wastaarabu wanaomba appointment kabisa siku flani dada naweza kupata muda niongee na wewe? Au lini utanipa muda.

Nyie wa Dar unakutana na mtu umsimamishe unajua mtu ana shughuli gani? Kwanza kama anakoenda kachelewa je?
Sema jamaa hakuwa na gari. Daah yaani siku hizi mmekuwa wabaguzi........kisa fedha.
 
Kwa upande wangu mimi yule mtu hakuwa rafu ila sikuona chemistry yoyote kati yetu ila kitendo cha mtu mmekutana mara ya kwanza tena hata saa moja alijapita anaanza kusema nakupenda sijui nataka kukuoa mara mke wangu huu ni uongo wa wazi kabisa
Kuna wanaume ni wa kweli direct, unakuta kasha vurugwa hivyo akikutana na mwanamke anajilipua kabisa hataki kuzungushwa mwaka , maana wadada mnatuweka benchi alafu kitumbua unampa mtu wa hovyo kabisa...

Jamaa kaamua kurisk . Ungempa hata namba kistaarabu alafu uwe unampima kimnya kimnya
 
Unakutana na mwanaume wa Dar njiani. Upo zako hai hai kufanya mambo yako ya maana, anakusimamisha dada salamu ehee naomba dakika 10 tukae mahali tuongee.

Mind you ana no yako na hata unapoishi anapajua. Hapo ukimzoom mkanda aliovaa na viatu na saa unajua tu huyu ana deni songesha na mpawa.

Niwashauri wanaume wa Dar maana mkoani ni wastaarabu wanaomba appointment kabisa siku fulani dada naweza kupata muda niongee na wewe? Au lini utanipa muda.

Nyie wa Dar unakutana na mtu umsimamishe unajua mtu ana shughuli gani? Kwanza kama anakoenda kachelewa je?
Miss Natafuta , Acha kutafuta mabwana stand za mabus na sokoni
 
Back
Top Bottom