Wanaume wa Dar es Salaam hawajitambui

Wanaume wa Dar es Salaam hawajitambui

Unakutana na mwanaume wa Dar njiani. Upo zako hai hai kufanya mambo yako ya maana, anakusimamisha dada salamu ehee naomba dakika 10 tukae mahali tuongee.

Mind you ana no yako na hata unapoishi anapajua. Hapo ukimzoom mkanda aliovaa na viatu na saa unajua tu huyu ana deni songesha na mpawa.

Niwashauri wanaume wa Dar maana mkoani ni wastaarabu wanaomba appointment kabisa siku flani dada naweza kupata muda niongee na wewe? Au lini utanipa muda.

Nyie wa Dar unakutana na mtu umsimamishe unajua mtu ana shughuli gani? Kwanza kama anakoenda kachelewa je?
Sasa ndugu yetu, wanaume wa Dar hatujitambui hizi Hotel zote hapa Dar es Salaam ni mbwa wamejenga sio!
 
UOlewi tena tunalisubiri bandiko lako humu ukifika 40 something 'natafuta mume ambae anapumua tu......' alafu mbaya zaidi anakuja yuleyule ulimchenga stendi anakuja tena kukuimbisha.. MUNGU FUNDI
Sawa nitakutag kabisa mkuu nikiweka bandiko la qualification ya kupumua tu
 
Mmmh kuwa smart ni hulka tu ya mtu mkuu awe muoaji awe mpitaji kuna watu wapo rafu na ni wapitiaji tu
Kuna wengine wapo rafu makusudi kwa nia ya kusaka mke wa kudumu naye maana wanawake siku hizi wanatamaa mbaya sana. tena wanaume wengine wanafikia mbali sana anaacha nyumba yake aliyo jenga yenye kila kitu anaenda kupanga geto anaweka gorodo chini na vindoo ndoo na kajiko alafu anakuambia anataka kukuoa.. sasa ni wewe kuchagua moja.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Aisee kwanini mtu aende kote huko kisa mke jamani
 
Back
Top Bottom