Wanaume wa Dar buana...!

Wanaume wa Dar buana...!

Sasa my ana mtoto na anaona Gari imejaa afu anataka apishwe seat

Si asubirie ambayo haijajaa ili akae
Tumeshajibu mara nyingi sana hili jitahidi kusoma comments
 
Laiti ungejua huyu mwanaume ameniacha wapi namsubiria kumbe yupo huku anachati.
Hiyo ya daladala labda kipindi akiwa anasoma.
Nilikuwa nashangaa anavyoniunga mkono kuhusu kupanda daladala. Nikaona ngoja nimchomee utambi hawezi kumisanifu mimi.
 
unaona kubeba mimba miezi tisa ni kazi acha zako mbona sisi wanaume tumebeba map*mb* miaka yote...dah! sijui nimeandika nini hapa.....
 
Mkuu, why are you so bitter? Mimi najivunia sana kuwa mwanamke na sijawahi kujichukia na hayo unayosema usukumani wanafanya asilimia 80 ya wanawake hii Tanzania wanaishi kwenye hayo maisha ni vile tu hatujuani. Nikiwa naumwa tumbo la bleed siwezi kumpisha kwenye siti aisee la sivyo humo kwenye gari yatakuwa mengine
Basi sawa.
 
Back
Top Bottom