Mwezi wa sita nilikua Dar nikiwa nimetokea Makete nilipokaa kwa miezi 8 na Mafinga kwa miezi 6.
Nikakuta watu wanavaa mpaka masweta. Wakati wanalalamika baridi sikuona haja ya kuanza kusema "Nilipotoka ni balaa hapa cha mtoto"
Sikuona hiyo haja kwakua hiyo ni tabia ya KiTanzania kushindana katika majanga kutaka uonekane umepitia majanga kuliko mwenzako. Lakini pia nina akili timamu za kufanya nijue kwa eneo lenye mpaka 32°C almost kila siku kwao ile ni baridi so haina hata haja ya kuja hadi kuanzisha uzi.