Wanaume uwezo umeshuka?

Mkuu haijaniuma, ila Mkimbizwa mbio amenipa pole as if me ndio mfuga kitambi na Mla Booster (mchuzi wa Pweza, Konyagi, Valuer)

Mkuu nilitaka nishangae kuwa na wewe ni mmoja wa wale wa dakika mbili hoi mpaka kesho yake
 
Mkuu nilitaka nishangae kuwa na wewe ni mmoja wa wale wa dakika mbili hoi mpaka kesho yake

Waliofit huwa Hawasemi Mkuu, wenye shida ndio utawaona vijogoo, kutwa nzima kujisifia, lakini ikifika jioni wa kwanza kwenye pweza, tulishamchangia jamaa nauli kituo cha ubungo, fedha yote kamaliza kwenye dawa (mchuzi wa Pweza)
 
Na hiyo inafanya kazi kama viagra kaka ni kitu cha muda mfupi then kinakatika hakuna suluhisho atakalolipata zaidi ya kuridhika kwa usiku mmoja tuu na then hakuna kitu kesho yake na ukishakuwa muumini kuacha hiyo kitu ni mbaya sana
 
umeona eeeh walewale pole sana
 
Huwa tunasema kadri tairi la gari linavyotumika sana ndivyo linavyozidi kuchakaa. Pia mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Katika sentensi hizi mbili lazima moja inaukweli juu ya tatizo hilo.
 
Ahaaa! Rose sikupotezei wala nini. Hapa akishafika sita kwa sita anataka eti ukate kiuno kwa mtarimboo upi? wanaume fanyeni mazoezi jamani vinginevyo ma boy house watautia kasi! chukua hatua!
 
Reactions: Aza
Duh comment za watu huku nimecheka sana....
Tatizo watu hawafanyi mazoezi na vyakula watu wanapendelea zimamoto,kazi ipo...!
Tunapenda shortcut mno...
 
Inasikitisha sana, mie wanangu nitawaapa mihogo na magimbi kwa sana tu, maana hali ni mbaya tunakoelekea
 
Inasikitisha sana, mie wanangu nitawaapa mihogo na magimbi kwa sana tu, maana hali ni mbaya tunakoelekea

BB mbona hivyo, kosa umeliona sehemu nini? kwani yeye huwezi kumpa mihogo unaangalia watoto tu, sio mbaya unataka uwalindie heshima huko kwa wakwe zako
 
nyie acheni utani, unajua mavyakula ya siku hizi ni tatizo.
Na wanawake wanatumia mavitu mengi ndo mana hata maungo yao yanakuwa makubwa ndo mana wanakuwa hawasikii raha ya MUHOGO WA JANG'OMBE.
 
Little X kama una kajitu kadogo kadogo hapo ni lazima uone wana maungo makubwa
Na usisite kukubali kuwa na wewe ni mmoja wa watumiaji wa pweza na valuer
 
Little X kama una kajitu kadogo kadogo hapo ni lazima uone wana maungo makubwa<br />
Na usisite kukubali kuwa na wewe ni mmoja wa watumiaji wa pweza na valuer
<br />
<br />
Haahahaha hapana mi ninayo ya kunitosha,na inakula popote.
Izo mambo huwa ctumii mwamba. Mana inaweza pelekea usahau dawa ya Penzi.

Ila wanawake wa siku hizi Khaah!! Wanayo makubwa.mana unaweza muangalia ujue unaua ukija gusa unakuta unaogelea dunia mzima.
 
hahahahahha wanaume kwisha khabar yenu...karibu na mnavyotumia vitadunda!!!
 
Lakini mi naona wameguswa wengi hapa.

Janga lakitaifa Mkuu

Angalia kila kukicha wganga wa dawa za Nguvu za kiume wanaongezeka na vibanda vya Pweza kila kona
Soko la Valuer na Konyagi ni kubwa mno inafikia kiasi Vinywaji Fake kuingia sokoni kuziba pengo na kuokoa watu
 
Na hizo fake sasa inaua kila kitu badala ya kuongeza nguvu unaongeza kasi ya kufa kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…