Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Hahaha umeona wenzio huko juu walivyopewa mabanzi?Hahah dar wako wengi. Tena sikuiz hata kukimbia km 3 hawawez. Wanataka toyo
Hahaha umeona wenzio huko juu walivyopewa mabanzi?Hahah dar wako wengi. Tena sikuiz hata kukimbia km 3 hawawez. Wanataka toyo
Huyo atakuwa wa dar aisee. Mwanamke wako anakuchapa unaangalia hiv.. mpige hata style za WWE uvunje kiuno. Una mchapa grandslam sebuleni
Hata mikoani wapo mbona kuna mmoja kanda maalum nasikia anatandika mume kama mtoto.
Hahaha umeona wenzio huko juu walivyopewa mabanzi?
Nimeona sana tu. Unaoigwaje na mtu ulimtolea mahari aisee.. hsira zangu zilivyombaya naweza piga akajikuta ICU mm nikiwa mahabusu nasubiri kesi..
Ndo unakuta mke kakuzidi nguvu sasa, unadundwa wewe.
Hujambo mrembo habari za kupotezanaHahaha ndaga nkamu
Haaaa haaaHahaa na mimi natamani mweeh. Kidume kinatimua mbio na boxer lol
Haaaa haaa kuna mdada alikuwa anamwambia mmewe wewe endelea tu mie si ndiye mbeba mizigo kwenye bicycle, vichapo vilizidi mke kaondoka Baba kabaki mlevi tuHawa wanaume wanatapa tu hapa nyuma ya keyboard kuna wanawake wana nguvu balaa. Kwanza ukimcheki misuli utadhani mwanaume halaf kapanda hewani.
Hata wa wanaosema wameokoka wapo wa namna hiyohuyo ana matatizo ya kisaikolojia..ukienda kiroho watasema ana pepo la ugomvi!!Huyo siyo mgomvi!!Anaumwa
haahahhah!!Mmachame wangu ni hatarii ila amenipata! Akimwaga ugari namwaga maharage ya nazi. Uwa napiga za chembe usiku unasikia anakuletea simu ongea na mama. Akinipa nasikia msamehe mwenzio! Mamaye!
Wewe wanadundwa vizuri tu mbona tunaona. Kuna wanawake anakupa nakozi hadi unamuona israel na rafiki zakeHawa wanaume wanatapa tu hapa nyuma ya keyboard kuna wanawake wana nguvu balaa. Kwanza ukimcheki misuli utadhani mwanaume halaf kapanda hewani.
Nzuri kabisa mpenzi. Za wewe?Hujambo mrembo habari za kupotezana
Ngoja wapatiwe adabu wengine wamezidi hawajui hata wajibu wao, walidekezwaWewe wanadundwa vizuri tu mbona tunaona. Kuna wanawake anakupa nakozi hadi unamuona israel na rafiki zake
Mie sijambo kabisa mpenzi, tupo mdogo mdogoNzuri kabisa mpenzi. Za wewe?
Yapi hayoo?Kuna mapigo flani huwa natumia.
[emoji23] [emoji23] mnaendeleaje mkuu, au mmeachana?Dah me ninalo hilo janga aise sijapata kuona msichana mgomvi kama huyu niliye nae, wiki kama mbili hivi zimepita alikuja kunianzishia bonge latimbwili mwanamke aamuliki kosa langu nikumpiga kibao2 ndio ikawa nimechokoza aise yaan nikaamua nimuache afanye kile anachotaka alinikaba shingo maumivu niliyohisi aise nilijikuta nimepiga kelele maana nilihisi kufa nilipotoka hapo kwahasira nilimuuma shavu ila ndio akasara hatar watu wanaamua ila wap mpaka akaja mama yake mtu ataki kuacha ugomvi kanikwida kama vile mwizi mpaka akaja mama yangu mtu bado2 kakaza ikabidi wamuamue kwangu watu wanne ndio walifanikiwa kumtoa ndani naalipotolewa ndan nikaambiwa nijifungie mlango ndani, akawa kazinda mlangoni anatukana hatar anafoka mpaka akazimia hapo hapo mlangoni yaan mpaka sasa anaumwa maana alilazwa kabisa baada yakumpeleka hospital
Ahsante mkuu, kuna cku nlipigwa na thermos kichwan hadi ikavunjika na maji yalikuwemo ya moto nilichomekaje!