Wanaume: Unamuachaje Mzazi Mwenzio?

Wanaume: Unamuachaje Mzazi Mwenzio?

Tatizo la mapenzi ya kwenye tv na deko nyingi mkazie tu aache upumbavu atajiliza baaadaye atatulia usimuendekeze kuwa mkali
Aiii wewe sio vizuri mwache mtoto wa mwenzio ni kipindi cha mpito tu yatakwisha
 
Unawezaje kulala raha mustarehe kama kuna mtu pembeni analia na sababu yake ni maji ya baridi?
Acha maji ya baridi. Kitumbua cha sh. 200 siwezi kumfuatia. Nampa hela anafuata mwenyewe.

By the way nampenda mke wangu.
 
Wewe vumilia tu maana kashakujulia huyo,sasa utajua namna ya kumuacha pale mtoto atakapozaliwa na sura ya Jirani yako,ukikuwa utaelewa nini namaanisha hapa
 
Afu mwisho wa siku unaambiwa mtoto sio wako, acha kumdekeza kwa mambo ya kijinga fanya yale muhimu
 
vijana wa sikuhizi mmekosa uvumilivu kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom