Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,170
Bora hiyo kuliko kumtia makofiMzee si nitaua watu wawili kwa mpigo kisa stress?
Bora hiyo kuliko kumtia makofiMzee si nitaua watu wawili kwa mpigo kisa stress?
nimecheka kama hiyo picha yako hapo profileWa kwangu aliniamsha saa saba ya usiku kuwa anataka dafu,ilibidi nikapande kwenye mnazi saa saba ya usiku ili nimuangushie dafu!
Na huu siyo msimu wa maembe, nimekuta wauza matunda wawili wote wamenipa majibu sawa.
Najiona nikimpelekea juisi ya embe
Kweli Dada,huwa wakipima akakuta maji ambayo hawez kuyaoga wanakuwa wapoleSisi wanawake mkituendekeza tukiwa wajawazito basi hakuna rangi hamtaiona. Kuna baadhi ya sababu unaona zina mashiko, zisizona mashiko kuweni na misimamo. Wanawake huwa tunapenda kuwapima wanaume sasa kama mnakubali tu kupelekwa pelekwa kisa ujauzito basi natanguliza pole zangu za dhati kwa baadhi yenu wanaume
Hamna kitu napenda kama kudekewa na mwanamke (mjamzito zaidi) nnayempendaCha kwanza na kianze.
-Nimeambiwa nikanunue embe usiku huu.
Mama Kijacho tangu iwe confirmed mambo ni moto.
Kwa upande wangu lakini.
-Kuna siku alinipigia simu mchana kua anataka kachori mbili hajisikii kula usiku huo. Mimi ilibidi nishuke vituo viwili kabla ya kituo changu ili nikute meza ya muuza pweza, sijui bei ya kachori kwahiyo nilitoa elfu moja nikataka nigewe zote, nikagewa kumi, namfikishia akakasirika kwanini nimenunua kumi, nina matumizi mabaya ya hela akasusa kula.
-Wiki moja nyuma saa tano usiku nilipigiwa simu kua mama kijacho anaumwa tukafika hospitali baada ya vipimo Dokta akasema binti anadeka hakuna lolote.
-Jana usiku saa sita anasema ana kiu ya maji ya baridi lakini hataki maji yatoke kwenye friji letu, linanuka, akaanza kugonga kwa wapangaji wenzetu Wakamjibu hawana maji akaniambia nitoke nikatafute maji dukani.
-Mtandika kitanda, mfagiaji, mpishi, muandaaji mtoto mkubwa na kumuogesha ni mimi na leo nimeenda kliniki.
-Aliniambia kila siku nirudi na mtindi. Leo nimefika kasema hautaki anataka mkate wa supa loaf, nimeenda kuununua kaonja silesi moja kasema mkate una harufu ya mafuta ya taa kauacha.
-Memori kadi yangu kachukua kurudisha hataki na haifanyii kitu.
-Kwa miezi miwili mfululizo sijapata usingizi wa uhakika.
Nawaza kama kweli anataka embe au anataka nikabwe maana si kwa muda huu.
Hapa ninajiuliza.
Mwanaume unamuachaje mzazi mwenzio? Hizi nenda rudi, fanya acha, simama kaa anazonifanyia ni kama kuna bond inajijenga kati ya mimi na yeye ambayo inanifanya nijiulize...
Mwanaume unamuachaje mzazi mwenzio?
Mzazi mwenzio au mkeo?Hapana sijaona kero.
Nimemaanisha ikiwa mtu unavumilia hizi zote za kipindi hichi ni kwa vipi uachane na mzazi mwenzio.
Hahaaa safi sana mama kijacho, mwache adeke bana.[emoji3] [emoji3] [emoji3] dah leo imebidi niache laptop, kagoma kuangalia muvi kwenye TV
Inafurahisha kusimulia ila kiukweli ni mtihani.Jomba mda mwingine kuwa kauzu, Mimi alijaribu mwanzo mwanzo tu mimba iliposhika, Mara ooh kanipikie ugali wakati chakula kingine kipo kakipika mwenyw ila amekikataa, mbona alilala njaa, Mara nibebe mgongoni, Mara mkilala anataka aweke pua kwapani kwangu ukimkataza anaanza kulia.
Aisee alinyooka, sikuwa na mpa ushirikiano kabisa. Nikaongea na mamayake akakubali aende home kwao, nikambembeleza akakubali kusafiri, hadi miezi mitatu baada ya kujifungua ndiyo nilienda kufuata.
Ila nilikuwa namsafiria kila mara, walau kila mwezi naenda.
Namshukuru mamamkwe wangu nimwelewa sana, niliogopa kumpeleka kwa mamangu, wanaweza wakafarakana ikawa shida nyingine.
hujuwi mimba weweTatizo la mapenzi ya kwenye tv na deko nyingi mkazie tu aache upumbavu atajiliza baaadaye atatulia usimuendekeze kuwa mkali