Mnanitia moyo niwe na roho mbayaSisi wanawake mkituendekeza tukiwa wajawazito basi hakuna rangi hamtaiona. Kuna baadhi ya sababu unaona zina mashiko, zisizona mashiko kuweni na misimamo. Wanawake huwa tunapenda kuwapima wanaume sasa kama mnakubali tu kupelekwa pelekwa kisa ujauzito basi natanguliza pole zangu za dhati kwa baadhi yenu wanaume
Usimpeleke! Ila chakufanya na wewe badilika kuwa serious kwenye issue ambayo unaona haina msingi.Ngoja nimpeleke ukweni
Kinachonishinda kuchagua serious na kisicho serious ni kwa sababu hawezi kula. Kwahiyo hata kama ni usiku akijisikia kula kitu inanibidi nitoke ili ale.Usimpeleke! Ila chakufanya na wewe badilika kuwa serious kwenye issue ambayo unaona haina msingi.
Wanawake kawaida akiwa mjamzito akiona "anaweza kubonyeza" huwa wanadeka sana.
Akikutuma kitu mfano usiku wa manane, mwambie ukweli kwamba ni hatari kwa maisha yako.
Mimba sio ugonjwa.
Kama kweli mimba inamtuma kufanya mambo yasiyo ya kawaida, mbona haimtumi siku moja kushinda kutwa anafanya usafi katika sekta zote.
KWA KIFUPI ANA DEKA.
Kwamba nijiandae na vioja vingine?SIO KILA MIMBA INASUMBUA KINA ZINGINE RAHA ZINGINE KARAHA JAMANII.. UTAKUTA MTU ANATAPIKA TUU KILA WAKAT.. niliwahi muona binamu yangu alikuwa mme akitoka job kile kiatu alichoshinda nacho job anakaa nacho pmebeni kazi yake kukinusa tuu iila kulala na mme wake hataki hata asimsogelee alikuwa analala chumba cha wageni hadi miezi tisa.. ila dawa yake ilikuwa kiatu cha mme tu leo atabadili hiko kesho anavaa kingine akirudi mke anachukua kile kiatu ndo raha yake..
Muwazie mwanao bossUpo sahihi. Alikuwa anataka biashara hiyo nikamwambia upuuzi wako usiniletee. Ohh unanipastress dokta kanambia itahatarisha maisha ya mtoto. Nikamwambia hizo stress unazitaka mwenyewe. Nachuna hata wiki 2. Sasa hivi kanyooka haleti tena shobo. Niache kufanya mambo ya maana nifikirie upuuzi wa mtu anayejiendekeza. Najiuliza wale wanaopewa mimba kwa kubakwa au hamjui mwenye ujauzito huwa wanamdekea nani?
Unawezaje kulala raha mustarehe kama kuna mtu pembeni analia na sababu yake ni maji ya baridi?Naapa, sikuwahi kutekeleza chochote alicho niagiza. Mpaka anajifungua mbona alikubaliana na ukauzu wangu. Ukimdekeza utambeba.
"kupanga ni kuchagua"
Ngoja nikupigie simu tuongee mkuuKinachonishinda kuchagua serious na kisicho serious ni kwa sababu hawezi kula. Kwahiyo hata kama ni usiku akijisikia kula kitu inanibidi nitoke ili ale.
MkimbieAre you implying nimkimbie nimuangalie kwa mbali?
Hahahaha ni mzima ndiyo na binti siyo mchawi.
Hahaha!!!hamna mke ni first priority,mchepuko ndo anafuata[emoji1] [emoji1] [emoji1]Loo ujue na huo mchepuko ndo wanawapelekesha sana mkeo kwako mtakula dagaa ila mchepuko maini na madeko kibao.... ungebana miguu yako asingekusumbua hivyooo ika zipu wazi ndo lazima na wewe uwajibike.. hivi huwa mnadhani tunapenda kujidekeza noo.. ni hiyo roho ya pili uliyompa yamsumbua..