Wanaume: Unamuachaje Mzazi Mwenzio?

Wanaume: Unamuachaje Mzazi Mwenzio?

Huwa tunaangalia wa kumletea upuuzi ivi angekua ukweni angemdekea na kumletea nani izo mbwembwe....mkaushie tu sema nae kashakujulia
Umenifurahisha hapo kwenye "Kashakujulia"
 
Utasikia ninahamu ya kupitishamo kakidole kwa fwasi ya dwasi,sijui utamkubalia? Mpelekee mahitaji muhimu tu mengine anaongezea
 
Mimi hakuna mwanamke anayeweza kuniletea upuuzi kama huo,hebu kakae kwa mchepuko kama week 2 umuache na mimba yake hapo atakutafuta mwenyewe tu
Loo ujue na huo mchepuko ndo wanawapelekesha sana mkeo kwako mtakula dagaa ila mchepuko maini na madeko kibao.... ungebana miguu yako asingekusumbua hivyooo ika zipu wazi ndo lazima na wewe uwajibike.. hivi huwa mnadhani tunapenda kujidekeza noo.. ni hiyo roho ya pili uliyompa yamsumbua..
 
Huwa tunaangalia wa kumletea upuuzi ivi angekua ukweni angemdekea na kumletea nani izo mbwembwe....mkaushie tu sema nae kashakujulia
Upo sahihi. Alikuwa anataka biashara hiyo nikamwambia upuuzi wako usiniletee. Ohh unanipastress dokta kanambia itahatarisha maisha ya mtoto. Nikamwambia hizo stress unazitaka mwenyewe. Nachuna hata wiki 2. Sasa hivi kanyooka haleti tena shobo. Niache kufanya mambo ya maana nifikirie upuuzi wa mtu anayejiendekeza. Najiuliza wale wanaopewa mimba kwa kubakwa au hamjui mwenye ujauzito huwa wanamdekea nani?
 
Yaan mkuu mwanamke mjamzito akijua tu unampa attention atakuendesha sana sa wengine tumelea mimba zetu tukiwa hostel hakuna wakumdekea wala nn unakomaa na hali mpka kujifungua .....
 
Yaan mkuu mwanamke mjamzito akijua tu unampa attention atakuendesha sana sa wengine tumelea mimba zetu tukiwa hostel hakuna wakumdekea wala nn unakomaa na hali mpka kujifungua .....
SIO KILA MIMBA INASUMBUA KINA ZINGINE RAHA ZINGINE KARAHA JAMANII.. UTAKUTA MTU ANATAPIKA TUU KILA WAKAT.. niliwahi muona binamu yangu alikuwa mme akitoka job kile kiatu alichoshinda nacho job anakaa nacho pmebeni kazi yake kukinusa tuu iila kulala na mme wake hataki hata asimsogelee alikuwa analala chumba cha wageni hadi miezi tisa.. ila dawa yake ilikuwa kiatu cha mme tu leo atabadili hiko kesho anavaa kingine akirudi mke anachukua kile kiatu ndo raha yake..
 
Wa kwangu aliniamsha saa saba ya usiku kuwa anataka dafu,ilibidi nikapande kwenye mnazi saa saba ya usiku ili nimuangushie dafu!
 
Sisi wanawake mkituendekeza tukiwa wajawazito basi hakuna rangi hamtaiona. Kuna baadhi ya sababu unaona zina mashiko, zisizona mashiko kuweni na misimamo. Wanawake huwa tunapenda kuwapima wanaume sasa kama mnakubali tu kupelekwa pelekwa kisa ujauzito basi natanguliza pole zangu za dhati kwa baadhi yenu wanaume
 
Ndoto kubwa ya wanawake ni kuwapelekesha wanaume namna hii ila bahati mbaya wanaume wa Kiafrika ni makauzu zaidi ya dagaa!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom