kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 7,761
- 14,478
wanaume tafuteni weekend moja ya kutomba tuuuu siku nzima
Rafiki siku hizi kila saa mungu!!!! katika vitabu vyenu imeandikwa siyo wote wasemao.... watauona ufalme wa mbinguni. Wazungu walinena 'do not be holy than a Pope" kama makasisi na wachungaji mwendo mdundo sembuse mimi na wewe? Hakuna asiyemjua Mungu ila vikojoleo vikichachamaa akili inahama.Dear ,Ama Kweli Nyani haoni Ku...... Hebu jiulizeni na nyie wanaume the Same question and then mkipata jibu we will give you guys our answers. Huyo mwanamke uselfish wake ndio ulikuwa unamsumbua na kutomjua mungu nothing else . Pole Zake huyo Baba ambaye alikuwa innocent kwa hilo. Thanks!
wanawake!!!!!!sijui mna nini? hivi mna nini?
Wanaume sijui mna nini? hivi mna nini
wanawake!!!!!!sijui mna nini? hivi mna nini?
Hii imetokea juzi hapa mwanza, kuna mama mmoja mzuri sana wa sura (Mama G) kaolewa na tajiri mmoja Dar. kapewa gari la kutembelea (Cruiser) na kila kitu kwa kweli.
Sasa kumbe toka wiki iliyopita alikuwa anaomba ruhusa aje awasalimie wazazi wake hapa mwanza, mwanaume akawa anasita kumruhusu baadae anyway akaenda Airport kumkatia Ticket ya ndege to mwanza, sasa cha ajabu Mume wake alishapata taarifa toka awali kuwa mke wake anamegwa na jamaa mmoja wa Mwanza lakini alikuwa hajamfahamu.
Mume kafika nyumbani akampa Tiket ya ndege, kesho yake mke kawasili mwanza kwa ndege ya Asubuhi, moja kwa moja kwa jamaa yake cm kazima zote alikuwa hapatikani, Mume akampigia mama mkwe wake (Mama wa mke wake) Mama akaulizwa "G alifika salama"? Mama akauliza wapi? hapo Nyumbani!! Mama akasema sijamuona...hiyo ni siku tatu baada ya kuwasili mwanza, Kwao hajafika.
Jamaa akapanda Ndege kuja mwanza, akadokezwa na mtu kuwa shemeji nilimuona jana maeneo ya Mwanza Hotel lakini hatukusalimiana, nilikuwa busy, Mume akaenda moja kwa moja hadi kwao mke, mama yake akasema bado hajafika na cm zake hazipatikani!! muda mfupi baada ya mume kuwasili kwao, mke naye huyo jamaa kamleta kwa gari aina ya Prado mpaka kwao, ile wanaingia ndani tu, Mwanamke akaanguka ghafla, Jamaa kumbe anamjua Mume wake, alitoka anakimbia na Gari kaacha hapa bila ufunguo, ndo anapelekwa hosp. muda huu.
Note: Wanaume tuna shida sana lakini ndo hivyo tena sasa tutafanyaje?
Umeona enhee. Wanawake ni ni proffesionals katika michepuko. Hakuna mwanamke mjinga kiasi hiki. Unless kama alikuwa analipiza kisasi. Yaani alifanya makusudiMuundo wa hii stori ti unainyima credibility kabisa ya kuaminika...Hata kama mwamamke angekuwa fyatu kiasi gani si rahisi azime simu siku tatu na sehemu yenyewe ni Mwanza na hata mama yake awe hana taarifa juu ya uwepo wa mtoto wake.Its obvious mume angempigia mama mkwe simu mara baada ya kumkosa mkewe na si baada ya siku 3 kupita.Hadithi za kitoto kama hizi ziundiwe jukwaa la watoto Mod natoa hoja
wanawake!!!!!!sijui mna nini? hivi mna nini?
Muundo wa hii stori ti unainyima credibility kabisa ya kuaminika...Hata kama mwamamke angekuwa fyatu kiasi gani si rahisi azime simu siku tatu na sehemu yenyewe ni Mwanza na hata mama yake awe hana taarifa juu ya uwepo wa mtoto wake.Its obvious mume angempigia mama mkwe simu mara baada ya kumkosa mkewe na si baada ya siku 3 kupita.Hadithi za kitoto kama hizi ziundiwe jukwaa la watoto Mod natoa hoja
Ok. kwa hiyo nipoteze muda wangu kwa kutunga?
Mbona movies huwa mnalia machozi?
Joseph ... usijidanganye, hakuna changamoto za ndoa zinazotatuliwa kwa 'kuchepuka'...na wala hakuna excuse yoyote inayoweza kujustify 'kuchepuka'. Ni ushenzi tu...hauna jina linguine! Kama kuna changamoto kwenye ndoa na unadhani huwezi zitatua, na unaona bora ukatafute 'penzi' kwengine..si uachane basi kwanza na huyo mumeo au mkeo uende kwa amani.Hayo ni matokeo tu ya tukio zima ila hatujui chanzo chake,inawezekana kabisa chanzo chake kikabadili namna ambavyo watu watafikiri na kumhukumu huyu mama.Ndoa zina changamoto zake hivyo wenye kujua ni wenye ndoa.
Tatizo la wanawake wengi, wakishaambiwa nakupenda tyr wanaanza kuvuta hisia za kugegedwa!
We unadhani kati ya mwanamke aliyeolewa na mchepuko wake nani wa kulaumiwa kama c mwanamke? maana anajua fika kuwa tyr amishaolewa na yupo ndani ya ndoa kwa nn asikatae?
ni kweli mkuu! huyu mwanaume kumbe anakaa Tabata huko Dar. na ana miradi sana, nimeambiwa kuwa moja ya miradi yake dar. ni hizi De change!
Mkuu Riwa natambua kabisa kuwa ''KUCHEPUKA'' si jambo jema kwa wanandoa na halina excuse pale unapokutwa,lakini ndoa nyingi siku hizi zina matatizo na hili suala la wanandoa kuchepuka ni njia mojawapo ambayo wanaona inafaa ili kupunguza machungu waliyonayo kwenye ndoa.Kwamfano inawezekana kabisa mwanaume ana kimada sehemu na mke ndani anajua,mbaya zaidi kimada ana watoto na mtaani inajulikana wala haina kificho huku mume akiwa hatulii nyumbani na mara kwa mara anakutwa na wanawake tofauti,unadhani mke ndani atafanya nini?Ndio maana nasema inatakiwa kushughulikia chanzo cha tatizo si matokeo maana wenza huwa hawakurupuki KUCHEPUKA zipo sababu za kufanya hivyo.Joseph ... usijidanganye, hakuna changamoto za ndoa zinazotatuliwa kwa 'kuchepuka'...na wala hakuna excuse yoyote inayoweza kujustify 'kuchepuka'. Ni ushenzi tu...hauna jina linguine! Kama kuna changamoto kwenye ndoa na unadhani huwezi zitatua, na unaona bora ukatafute 'penzi' kwengine..si uachane basi kwanza na huyo mumeo au mkeo uende kwa amani.